Watu kama hao hawachelewi kusema Obama yupo kwaajili ya Mission ya Wakenya! haha wabongo bhana!Hahahhaa, Watanzania kwa kujifanya wanajua...hahhaha! Kwahiyo mna maajent wenu kwenye jeshi la US na wenyewe hawajuwi siyo? Duh, hiyo kali! Hao ni waajiriwa tu wameajiriwa na jeshi kwa kazi mbalimbali kulingana na profession zao, hata wewe uliyesoma Kiswahili siku wakihitaji wakalimani wa kiswahili tuma maombi tu huenda ukavaa gwanda za kijivukijivu!
Huyu jamaa mbeba vyuma ni noma..Ha ha ha wahaya katika ubora wao
Jina gani huko anatumiaKwani unafikiri hawajui? mbona kwenye akaunti yake ukimuliza swali anakujibu tena maswali mengine had unaogopa
Watu wengi wanajua ni siri wakati ni kitu cha kawaida... Wale wengi wanaoenda vitani ni kutoka mataifa mengine na wapewa uraia wa marekani.... Vijana wengi zaidi a kimarekani hawana mzuka na jeshi lao....Kuna wabongo wengi ndani ya Jeshi la Marekani.
Luteni Jenerali? Hapana,huyo sijasikia Ila wapo ma lieutenant kibao tu ambao sio jenerali. Luteni Jenerali ni mnadhimu mkuu wa jeshi hapa nchini,labda kama unaye ambaye umesikia tupe jina na picha tumtafute Ila maluteni na vyeo vinginevyo wapoWakuu,
Kuna mtu kanidokeza eti kuna jamaa mmoja ambae ni mtanzania ni askari mwenye cheo cha Luten General yuko kwenye jeshi la Marekani.
Kuna mwenye data za huyu jamaa?
Sidhani kama americans wanaingiza watu jeshini wasio wamarikani. I suspect hao wanaozungumziwa wana uraia wa marikani. I stand to be corrected. Na mpaka sasa Tanzania hatuna watu wenye uraia pacha.hao sio watanzania
Utaklia kusema kazi chafu wenzio maisha yanasonga na hata zikiwa chafu wewe inakusumbua nini nyambobe weeeee!!Kuna wapishi....ma watchman....security guards....madereva na wengi tu wanaofanya kazi chafuchafu
Duuh....nimekusoma na nimekuelewa.Inasikitisha saana kuwa na ueleo kama huo...Utaklia kusema kazi chafu wenzio maisha yanasonga na hata zikiwa chafu wewe inakusumbua nini nyambobe weeeee!!
Tupe link ya kutuma maombiNa system iko wazi sasa hv watu waombe, deadline November 7
Umbeya Mbeya
Ni kweli kuna watanzania ni wanajeshi na police nchini marekani na uwingereza.......
Lakini lazima kwanza kiapo cha mahakama kuukana uraia wako wa zamani....
Hiyo inawezekana kwa sababu vijana wengi wanaozaliwa sasa hasa USA wanakuwa goigoi kuendesha operations za kijeshi hivyo wanakopa wageni kutoka Israel, Nigeria,Mexico na Canada na kwingine kunakoaminika si maadui wa marekani......
Ndio maana unaona trump baada ya kuwashambulia Mexico atakwama na hawezi tena kuwa rais wa marekani....