Mtanzania aliyeko kwenye jeshi la Marekani

Mtanzania aliyeko kwenye jeshi la Marekani

Huyu jamaa atakua ndio yule anayemtukana Rais akiwa amevaa kofia
Kijana ye yote ambaye ni mahiri katika sayansi, hesabu na mawasiliano anaweza kuajiriwa Marekani au nchi nyingine zenye mtazamo kama wa Marekani. Watanzania hawako jeshini tu kule Marekani. Kwa muda mrefu walianza kuchukuliwa hata kuingia NASA. Na huu ni utaratibu wa kudumu wa wenzetu ambao wanajua maana ya "state". Wao hujitafutia watu wenye vipaji maalum duniani ili kuendeleza maslahi yao ya baadaye. Sisi tunajiajiri kindugu tu wala hatutumii muda kutafuta nchi yetu ina watu gani mashuleni ambao wana vipaji vya ajabu na kuwalea kwa maslahi ya taifa letu la baadaye. Kwa nini ukaifie nchi ya wenzio.
 
wengi tu

bunge la tanzania ni "rubber stamp" ya serikali ya magufuli
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Sema hawa ndugu zetu watakuwa marijali,.maana jamaa jeshi lao wasiokuwa rizki kibao.
 
Wakuu,

Kuna mtu kanidokeza eti kuna jamaa mmoja ambae ni mtanzania ni askari mwenye cheo cha Luten General yuko kwenye jeshi la Marekani.

Kuna mwenye data za huyu jamaa?
Wapo wengi, ila wameshakua uraia wa Marekani nina hakika.
 
Khaaa...unajua nilikuwa sielewi kumbe ukiskia wanajeshi kadhaa wa marekani wameuawa huku na huko kumbe ni hawa kina ngosha, kamugisha na ngowi na sio kina trump, williamson n the like....napita tu...
 
Khaaa...unajua nilikuwa sielewi kumbe ukiskia wanajeshi kadhaa wa marekani wameuawa huku na huko kumbe ni hawa kina ngosha, kamugisha na ngowi na sio kina trump, williamson n the like....napita tu...
Acha kutema shudu wewe
 
Kuna wapishi....ma watchman....security guards....madereva na wengi tu wanaofanya kazi chafuchafu
we unafanya kazi gani safi safi?wivu umekujaa mwenzako unaemsema anafanya kazi chafuchafu analipwa vizuri na hata kwenye ukoo wenu hakuna anaemfikia,acha wivu
 
Back
Top Bottom