mtoto wa kibopa
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 5,369
- 6,531
wapo wengi tu hao akina pot
Mkuu kumbe hili jembe letu Azaboy
Hitimisho ndo limeharibu maana ya mchango wakoNi kweli kuna watanzania ni wanajeshi na police nchini marekani na uwingereza.......
Lakini lazima kwanza kiapo cha mahakama kuukana uraia wako wa zamani....
Hiyo inawezekana kwa sababu vijana wengi wanaozaliwa sasa hasa USA wanakuwa goigoi kuendesha operations za kijeshi hivyo wanakopa wageni kutoka Israel, Nigeria,Mexico na Canada na kwingine kunakoaminika si maadui wa marekani......
Ndio maana unaona trump baada ya kuwashambulia Mexico atakwama na hawezi tena kuwa rais wa marekani....
mkuu naona una utani na Mshana JrJirani yake Mshama Jr
Ni kweli kuna watanzania ni wanajeshi na police nchini marekani na uwingereza.......
Lakini lazima kwanza kiapo cha mahakama kuukana uraia wako wa zamani....
Hiyo inawezekana kwa sababu vijana wengi wanaozaliwa sasa hasa USA wanakuwa goigoi kuendesha operations za kijeshi hivyo wanakopa wageni kutoka Israel, Nigeria,Mexico na Canada na kwingine kunakoaminika si maadui wa marekani......
Ndio maana unaona trump baada ya kuwashambulia Mexico atakwama na hawezi tena kuwa rais wa marekani....
Amejiruhusu mwenyewe Facebook!!Kule Facebook yupo na huweka picha kila siku za mambo anayoyafanya USA na hasa mission zake za kijeshi.aisee sasa nani kakuruhusu kumuanika jamaa.we as family tutazungumza na wewe vizuri
mshana Jr yeye yuko jeshi la uchawiJirani yake Mshama Jr
Afu ana miaka 32 na hana miaka 5 ndani ya jeshiLuten general?sina uhakika.
Ni kweli kuna watanzania ni wanajeshi na police nchini marekani na uwingereza.......
Lakini lazima kwanza kiapo cha mahakama kuukana uraia wako wa zamani....
Hiyo inawezekana kwa sababu vijana wengi wanaozaliwa sasa hasa USA wanakuwa goigoi kuendesha operations za kijeshi hivyo wanakopa wageni kutoka Israel, Nigeria,Mexico na Canada na kwingine kunakoaminika si maadui wa marekani......
Ndio maana unaona trump baada ya kuwashambulia Mexico atakwama na hawezi tena kuwa rais wa marekani....
Na system iko wazi sasa hv watu waombe, deadline November 7Unatakiwa uwe na green card tu ili uombe kuwa mjeshi au askari polisi full stop
Msamehe bure.Hakuna usalama wowote,ndio maana yupo FB na anawasiliana na watu wake!!Ndio maana kajiweka wazi hata anapotokea...Usalama wake kwani kaiba?au kafanya uhalifu
Msamehe bureAmejiruhusu mwenyewe Facebook!!Kule Facebook yupo na huweka picha kila siku za mambo anayoyafanya USA na hasa mission zake za kijeshi.
Kule Fb anachati na watu na kujibu maswali kibao yanayohusu yeye na US...Sasa Fb tu kajiweka na ndio matandao maarufu umeenea dunia nzima...Iwe na humu JF!!Punguza mikwara!!JF is where we dare to Talk Openly