kwa usalama wa huyu mtu sio vizuri kumuanika hivyoMbona wapo kibao tu vijana wetu huko?Ila ndio walishaukana uraia na wamekuwa watu wa huko huko.
Hawa Mission za Afrika Mashariki wanatumwa sana sbb ya lugha na uzoefu wa kijiografia.Kuna kijana nilikaa nae Dsm mtaa mmoja alikuwa akisoma Benjamini Sekondari,alikuwa bwana mdogo na nauli za kuendea shule tumempa sana.Wakati huo sisi watu wazima tushapata kazi yeye bado skoga.Baadae nimekuja kukutana nae State ni Mjeshi wa cheo cha Luteni.Hata FB yupo na wala hajifichi.
View attachment 426032 View attachment 426033 View attachment 426034 View attachment 426035 View attachment 426037