Mtanzania aliyeko kwenye jeshi la Marekani

Mtanzania aliyeko kwenye jeshi la Marekani

Kwa Marekani kujiunga jeshi rahisi sana kipindi tupo college kule jamaa wanajeshi walikuwa wanakuja chuo nakutushawishi kujiunga na jeshi wabongo kibao washikaji walijiunga ila mi na jeshi hapana saizi nina washikaji nilisoma nao wanavyeo vikubwa jeshini na wengine fbi.
Nakubaliana nawe
 
Futa hii thread uta blow cover za ma agent wetu
Hahahhaa, Watanzania kwa kujifanya wanajua...hahhaha! Kwahiyo mna maajent wenu kwenye jeshi la US na wenyewe hawajuwi siyo? Duh, hiyo kali! Hao ni waajiriwa tu wameajiriwa na jeshi kwa kazi mbalimbali kulingana na profession zao, hata wewe uliyesoma Kiswahili siku wakihitaji wakalimani wa kiswahili tuma maombi tu huenda ukavaa gwanda za kijivukijivu!
 
Mi navojua marekani ukitaka uraia na benefits za fasta ingia jeshini..kuingia jeshini wafanya kukushawishi.


Kwa lengo la kuwaweka mstari wa mbele maarufu kama chambo mmmmh!
 
Kimbembe mnyaruanda aje tanzania atake kuwa mjeda wa jwtz na kuukana uraia wa rwanda mwee. Sitaki kujua aise hayo mapovu watu watakavyotoa.
 
Wakuu,

Kuna mtu kanidokeza eti kuna jamaa mmoja ambae ni mtanzania ni askari mwenye cheo cha Luten General yuko kwenye jeshi la Marekani.

Kuna mwenye data za huyu jamaa?
Mkuu hadi hapa naona haujapata jibu la swali lako. Labda hayupo au kama yupo jibu litakuja kupatikana baadae.
 
<<< SIO haramu MAANA hiyo KAZI kwa MAREKANI ukiwa UNAENDA VIZURI na SHERIA zao UNAPATA tu na pia wanafanya kwa muda mfupi saaaaaaaaaaana ila MALIPO ni makubwa >>>
 
Mi navojua marekani ukitaka uraia na benefits za fasta ingia jeshini..kuingia jeshini wafanya kukushawishi.
Na kale kamtindo kao ka kushogoana lazima kakuhusu[emoji90] ndo
Utakubaliwa haraka
 
Na system iko wazi sasa hv watu waombe, deadline November 7
Kwa aneyejua jinsi ya kujaza zile form au wapi hapa bongo wanajaza zile form I mean wenyr uzoefu nazo naomba kujuzwa wakuu anisaidie
 
itakuwa tunajuana tu, watoto wa mbax ....mimi nimepiga naye engineering pale mlimani, wakati yeye anaenda usa masters, mimi nikaingia Finland pia kupiga masters
[emoji100] [emoji100] [emoji125] [emoji594] [emoji574]
 
Back
Top Bottom