Mtanzania aliyeko kwenye jeshi la Marekani

Mtanzania aliyeko kwenye jeshi la Marekani

Wakuu,

Kuna mtu kanidokeza eti kuna jamaa mmoja ambae ni mtanzania ni askari mwenye cheo cha Luten General yuko kwenye jeshi la Marekani.

Kuna mwenye data za huyu jamaa?

Kama yupo au hayupo wewe inakusaidia nini?
 
Wako wengi tu mi mwenyewe jama yangu alienda kwa mafunzo huko wakamwambia abaki huko akakataa
 
Hilo jeshi ipo siku litafanya mabadiliko Tanzania [emoji2][emoji1]
 
jaman ufafanuz namna ya kujiunga na jeshi ls marekani plz plz plz
Ukitaka unaweza kuomba kwa kupitia online application, UK navy unaweza kuomba online, huko Facebook tunaona advertising zao,na miaka under 25,
 
Ni kweli kuna watanzania ni wanajeshi na police nchini marekani na uwingereza.......

Lakini lazima kwanza kiapo cha mahakama kuukana uraia wako wa zamani....

Hiyo inawezekana kwa sababu vijana wengi wanaozaliwa sasa hasa USA wanakuwa goigoi kuendesha operations za kijeshi hivyo wanakopa wageni kutoka Israel, Nigeria,Mexico na Canada na kwingine kunakoaminika si maadui wa marekani......

Ndio maana unaona trump baada ya kuwashambulia Mexico atakwama na hawezi tena kuwa rais wa marekani....
Jibu maridhawa
 
Kuna kijana alikuwa mbele yangu darasa moja mbele shule fulani maarufu Arusha ya wavulana ,kwasasa ni askari polisi huko USA. Ila sijui wanapataje hizo nafasi na kama zinapatikana kwa urahisi.
 
Wako wengi tu hawajitangazi!! Kua katika haya majeshi wala sio issue, wenzenu Ghana na Kenya nafasi za geshi zinatangazwa kwao ili watu wanaaply wanajoin hayo majeshi ya ughaibuni sio big deal mkuu!
 
Kuna wabongo wengi ndani ya Jeshi la Marekani.

Kuna jamaa nilisoma naye ni mwanajeshi marekani... Kakita sana huko afghanistan... Ukiutaka uraia wa marekani fasta kaombe uraia na kazi ya jeshi
 
Duuuu Watanzania hatuna siri, wengine washaanza kumwaga radhi hum hum!
 
Back
Top Bottom