Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 16,987
- 20,271
- Thread starter
- #41
Kama nchi zetu za kiafrika zingekuwa na sheria kama za china, naamini Afrika pangekuwa mahali pazuri zaidi kiuchumi na kisiasa!Miaka miwili nyuma kuna muingereza zuzu alibebeshwa cocaine kuingiza China na alikamatwa Airport naye alinyongwa bila kujali kama ana mtindio wa ubongo. Usichezee Peking