Mtanzania akamatwa na unga China ananyongwa J'nne

sishabikii hukumu ya kifo lkn nahisi hili ndilo lililobaki maana sidhani kama kuna watakaojishughulikisha na hili.

ushabikie usishabikie wachina hawaelewi hilo,kama wameshindwa wamarekani na haki zao za binadamu utakuwa wewe

kwa upande wangu naona sawa tu,maana madawa ya kulevya yamemaliza vijana wetu sana

kwa sasa ukienda hunduras hakufai muda wowote unapigwa risasi na magenge ya madawa ya kulevya,kwani wenzetu pale ndio cetre ya madawa yatokayo mexico kwenda USA,na nchi yao ni corrupt haina sheria yeyote ile ya kuzuia madawa ya kulevya,kila mtu anamiliki bunduki kujilinda na biashara ya madawa
 
Mkuu mpayukaji, he's not dead yet.. khaaa!

yaani mpaka sasa ni kama kafa tu,maana hakuna kitakacho mtoa ktk hili labda kuwe na tetemeko la ardhi kama japani na hata hivyo watawahi kumpiga risasi kabla hajafa kwa tetemeko,CHEZEA CHINA WEWE,watu wa madawa waishike sharubu kenya,uganda na tanzania lakini sio uchina

si unakumbuka pale kenya baada ya kukamatwa zile shehena za madawa walikuja jamaa kutoka nje kuja kukomboa madawa yao na walipewa ulinzi na serikali ya kenya,hebu sasa waeleze waende uchina wakakomboe dawa zao toka kwa ZUBER hehehehehehe itakula kwao yatarudishwa majivu tu
 
naombea anyongwe hadharani. Ningefurahi pia kama angetaja hadharani katumwa na nani.

hivi ndivyo itakavyo kuwa 没育办法

_48829659_mx7beyyf.gif
 
yaani mpaka sasa ni kama kafa tu,maana hakuna kitakacho mtoa ktk hili labda kuwe na tetemeko la ardhi kama japani na hata hivyo watawahi kumpiga risasi kabla hajafa kwa tetemeko,CHEZEA CHINA WEWE,watu wa madawa waishike sharubu kenya,uganda na tanzania lakini sio uchina

si unakumbuka pale kenya baada ya kukamatwa zile shehena za madawa walikuja jamaa kutoka nje kuja kukomboa madawa yao na walipewa ulinzi na serikali ya kenya,hebu sasa waeleze waende uchina wakakomboe dawa zao toka kwa ZUBER hehehehehehe itakula kwao yatarudishwa majivu tu
Haahaahaa dah mbavu sina haaahaaaaahaa china ni sayari nyingine kabisa, hata mungu tu wamemuweka mipaka ya kumsikiliza/kumshukuru ni januari hadi januari sembuse Zuberi mtz?
 
huyo dada wa SA alinyongwa kwa kubeba 3kg of methamphetamine,ina maana kama ni container kwa wachina hiyo kesi ingekuwa imekwisha na wahusika wangesha oza kitambo sana

na jiulize haki za binadamu mbona hawaonekani uchina? mbona hatuwasikii wakipiga kelele uchina wala kwenda uchina kuandamana?

wanaelewa kuwa wakienda uchina kwanza hawatarudi,mbili USA haitawasaidia na tatu watahukumiwa kwa sheria za uchina

utawaona wakija tanzania na nchi nyingine ambazo kwao wanaelewa kuwa hawatakamatwa wala kushitakiwa

HONGERA UCHINA

[FONT=Arial, Helmet, Freesans, sans-serif]
[/FONT]

yea, bila kutumia sheria ya kunyonga ingekuwa hatari, population watu billion 1 na ushee.
 
Kwanza kabisa naomben mawasiliano ya serikali ya China!
Niwaambie waje wamnyongee hapa mbongo tena maeneo ya Mnazi mmoja ili mapusher na ma don wao waone na wakubwa wanaohuska waone
wenyewe wamekaa maofsn wametunisha mitumbo kaz yao nikuagiza
vijana,rafk,masela,kaka,dada,na ndug zetu ndo wanaoathirika na kunyongwa
tena mimi ningewaambia china kuna soko tena airport unapta kiurahis ili waende wakafie mbali na matumbo yao!
Sh@@@@zy!q @@@@@#nina zao kabisa
 
Kwenye ishu kama hizi wachina hawana mda wamajadiliano na binadamu yeyote duniani zaidi ya kuangalia sheria na kuitekeleza!
 
Kwenye ishu kama hizi wachina hawana mda wamajadiliano na binadamu yeyote duniani zaidi ya kuangalia sheria na kuitekeleza!

nimejarib kuwasiliana nao wamesema niache ujinga lbda watafikilia ombi langu wakimkamata kigogo au mheshimiwa fulan wa tz ndo watajifkilia kumnyongea posta au magogon ama tandale kwa mtogole
 
Taarifa za kuaminika nikuwa,
Mtanzania
akamatwa na unga China ananyongwa J'nne anaitwa Zuberi Mussa, Ni mkaazi wa Zanzibar aliwahi kuishi Canada! Sijui atasaidiwa vipi maana yeye ni container tu Ma don wapo Bongo

Nduguze Wasubiri majivu! Yatatumwa zanziber kwa DHL.
 
Ha ha ha,ivi majivu yake yataletwa lini nchini?chezea china weye.
 
nimejarib kuwasiliana nao wamesema niache ujinga lbda watafikilia ombi langu wakimkamata kigogo au mheshimiwa fulan wa tz ndo watajifkilia kumnyongea posta au magogon ama tandale kwa mtogole

gody
hehehehehe,we kweli kiboko,umewasiliana na nani na kwa lugha ipi sasa

nadhani wamekwambia"ni buyao shuo"
 
Back
Top Bottom