TANZIA Mtanzania afariki Ufaransa, msaada unahitajika ili ndugu wapate taarifa

Mimi hapa mjomba wangu huyo!!! natuma ndege ya kukodi haraka sana!! kutegemeana na michango ntakayopata!! sawa jamani??? ila mnisaidie kwa walio guswa na Msiba huu!!! Naomba mni changie hapa hapa! In box ukija nakupa number!
 
So alizamia KWA Njia Gani? Tunataka maelezo yaliyojitosheleza tumechoka watanzania kufanywa empty mind kama alizamia zamani akiwa kijana mpaka now 61 hakuwa anatafuta ndugu na jamaa zake au? Tunataka taarifa kamili
Ndugu ni wanoko wanoko sana!! kuliko watu baki!! kweli kabisaa!! km mjuavyo!! walimsema sana kwa ubaya ubaya hivi!! wakajifanya hawamtaki ajili ya shule yake kuubwa! kadri alivo fanikiwa wakajifanya kumtenga!! sasa yamemkuta ndo ivo sasa!

Nawashauri vijana!! ndugu ni wanoko sana!!! aliyesema mchawi ndugu hakukosea!! alikuwa na akili sana...sijui nani huyo??? huwezi amini kunawengine walikuwa wanatabasamu kabisaa mbele yangu!! nikatia Heee!!!eeeee!!
 
Seems like hujui watu walikuwa wanaenda vipi mbele miaka ya nyuma....

FYI, moja ya changamoto wanazopata balozi zetu za nje ni kutokuwa na idadi sahihi ya Watanzania waliopo huko!!!

Sasa tatizo linakuja inapotokea mtu amefariki au kutupwa jela!! Mamlaka za huko zinakuletea taarifa kwamba huyu ni mtu wenu lakini mkiangalia kwenye rekodi, hayupo kwa sababu aliingia kwa kujilipua, na kwahiyo ubalozi haumfahamu!!

Miaka hiyo hiyo, enzi wa-South waliokuwa Tanzania wanarudi kwao baada ya uhuru, kuna mwana mmoja kitaa, sijui alifanya fanya vipi, anajua mwenyewe!! Mshikaji akaondoka na wa-SA kama mtu wa South Afrika wakati ni Mbongo PURE kwa sababu, hata Bush, nyumba yao na ya kwetu zinatazamana!!

Kama ilivyo ada ya Wabongo, mwana kafika SA, akaanza kuuza powder. Moja ya trips zake akaenda Amsterdam akadakwa, na kula mvua!!

Now assume huyu angekutwa na umauti huko Uhalonzi au nchi yoyote... it's obvious, mamlaka za huko zingewasiliana na ubalozi wa South Africa!

Ubalozi wa South Africa ungehangaika kutafuta ndugu zake huko SA, na wasingewapata na labda katika tafuta tafuta hiyo wangegundua kwamba mwana ni Mbongo!!!

Hatimae taarifa zingefika ubalozi wa Tanzania ambao hakuna records zake, na kwahiyo wangelazimika kufanya kama walivyofanya hao wa Ufaransa!!

Na mfano mwingine, ni kama pale Wanyarwanda waliokuwa ukimbizini TZ walipopelekwa Canada!!

We unadhani hakuna Wabongo ambao walijichomeka mle?! Na kama wapo, unadhani ubalozi wa Tanzania nchini Canada watakuwa na taarifa zao wakati wameenda huko kama Wanyarwanda?
Bana weee!! yote kwa yote weee jilipue tu! litakalo kuwa na liwe!! ukifa ukizikwa ulaya, sijui USA shega tu kwa nini ulie lie? wkt umeamua kutafuta maisha? Ardhi ni ardhi tu!! hata ukizikwa Moshi haisaidii! wewe kufufuka!!

Babu wababu wababu unajua makaburi yao? Mbona wahindi walizikwa hapo bongo miaka dahari huko nyuma kwani maisha yalisimama? leteni ichango yenu!!

unaweza kukomaa uzikwe kwenu kaburi likachimbwa kwa chuki ukabakia juujuu! na ukaliwa na mbwa vile vile!
 
Back
Top Bottom