Kazitunayo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2013
- 3,784
- 3,209
Shmimu mlacha mtoto wa pale kisangara uyu daaa yale macho tu mimi jamani
Mkuu kafariiki tangu tar. 03/03/2009 ulikuwa hujui hadi leo?Kafariki uyu dada?
Huyu yuko Azam tvFatmah Almasi Nyangasa
Yeah,tupo wengi mkuu,dada katulia sanaYule wa jana Kipima joto. Ananichanganya sana.
Hakuna reporter huyo itv
Hakuna reporter huyo itv
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Haaaaa haaaaa haaaaa...ungenisahihisha tu mkuu: ni UFOO SARO...!!
Tafakari...!!