Super Tuesday
JF-Expert Member
- Apr 5, 2016
- 636
- 727
bila ubishi taarifa ya habari ya kituo cha itv ya saa 2 usiku kila siku ndio inayoongoza kwa kuwa na watazamaji wengi hapa nchini kuliko ya vituo vingine vya televison, sasa je ni reporter gani anakuvutia pale anaporipoti habari yake? mimi navutiwa na Mabere Makubi na Fortuna Suleiman.
Naomba tunapochangia tutaje reporters na sio watangazaji.
Naomba tunapochangia tutaje reporters na sio watangazaji.