Marcostilone
JF-Expert Member
- Jun 25, 2023
- 6,832
- 17,057
Sifa na umaarufu wa muda mfupi unaenda kumpoza hata kama siyo sasa.
Na madaktari wa kipindi hiki ukienda kuwaona ni vizuri uwe na ABC za kinachokusumbua.Ukweli ni kuwa utabibu ni mgumu, hilo tunakubali na tunaheshimu sana taaluma yenu madaktari. Ila kwa watu wanaopenda kushughulisha akili zao zama hizi, kuna mambo mengi mtu anajua, walau theoretically.
ChaiUkweli ni kuwa utabibu ni mgumu, hilo tunakubali na tunaheshimu sana taaluma yenu madaktari. Ila kwa watu wanaopenda kushughulisha akili zao zama hizi, kuna mambo mengi mtu anajua, walau theoretically.