Mtandao wa Lowassa wa 4u Movement wasambaratika rasmi

Mtandao wa Lowassa wa 4u Movement wasambaratika rasmi

Hii nchi ina watu wana ushabiki wa ajabu sana. Inawezekanaje utake kikundi chagizi kiwe ni taasisi ya kudumu. Wale wahuni wa kile kikundi cha "nimestuka" sasa hivi ofisi zao ziko wapi? Acheni ujinga na propaganda zenu rahisi hizo!!
Mkuu huyo jamaa ni zaidi ya debe tupu, na kwasasa amekata tamaa ya kuendelea na kibarua chake cha alichopewa kama fadhira ya kumbeba prince
 
Uchaguzi si umeisha?! Wewe unafikiri watu wote wanafanya kazi za chama kama wewe kiasi cha kufunga kamba za viatu vya wanaume wenzako?! Uchaguzi umeisha wanaendelea na shughuli zao.
Hilo punguani halina lijuwalo lipo tu kama zuzu
 
Lizaboni wewe ni kilaza na mpuuzi..hakuna siku umeandika mambo ya msingi kama uchumi wetu..matatizo ya maji n.k
ni lini nguruwe wa lumumba watajitambua?
Hawawezi kujitambua hata siku moja maana akili zao zimeshikiwa
 
Abdallah Bulembo hujamsikia akiunguruma? Ole Sendeka alishindwa kwenye uchaguzi. Hana forum tena
Abdallah Bulembo anaiungurumia familia yake, hana profile tena katika awamu hii, anajikomba apate hata ukatibu kata jambo ambalo halitakaa litokee, maana JPM hafanyi kazi kwa shinikizo, ushikaji wala ushoga kama JK! mmeanza kuisoma Namba!!!
 
Wewe kweli unamuogopa sana lowasa, na safari hii hupati tena kibarua jiandae kwenda kwenu ukalime ufuta nachingwea na namabengo
So as for now....alipo hampo
 
Hahahahaha!!

Malezi bila baba wakati mwibgine unakuwa mbeaa sanaa. Watu wa pwani bhanaa!!
 
Elizaboni acha ushabiki maandazi, ya kwenu yanawashinda kutwa kuhangaika na Lowassa utakufa miguu juu wewe
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Taarifa rasmi ninayoleta kwenu ni kwamba ule mtandao wa vijana ambao walijikusanya kutoka katika maeneo mbalimbali ya nchi na nje ya nchi hususan kwenye vyuo wakimuunga mkono aliyekuwa mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA, Edward Lowassa umevunjika rasmi.

Taarifa za kuvunjika kwa mtandao huo ambazo nimezipata hivi punde kutoka kwa mmoja wa viongozi wa umoja huo zimekuja baada ya kukatika kwa mawasiliano baina ya Edward Lowassa na viongozi wa mtandao huo. Kwamba, tangu Novemba 2015, hakuna mawasiliano yoyote baina ya pande mbili hizo.

Pia kiongozi huyo amenidokeza kuwa, 4u Movement walikuwa wanakabiliwa na matatizo makubwa ya kifedha na kwamba tangu Septemba 2015, hali ya kifedha ilikuwa ngumu sana. Mathalan, amesema kuwa viongozi wa umoja huo walikuwa wanalipwa posho ya wastani wa shilingi 650,000 kwa mwezi.

Hata hivyo, anasema kuwa hawajalipwa posho hiyo kwa zaidi ya miezi minne sasa. Pia anasema kuwa waliahidiwa kulipiwa kodi ya ofisi kuanzia mwezi Januari 2016 baada ya kodi yao kwisha Desemba 2015.

Hata hivyo, mpaka leo amesema kuwa hawajapata fedha hizo na hawana uhakika wa kuzipata na kwamba wenye majengo wameamua kusitisha mikataba yao na hivyo kuwaamuru kuondoa vifaaa vyao ili wawapangishe wateja wengine.
Duu!! Unajifanya unamfuatilia sana lowasa kuliko mkeo anavyokwenda gengeni!!! Utaolewa ww!!
 
EL atakuwa alikufanyia kitu kibaya sana maishani mwako ndo mana humsahau kamwe
 
Back
Top Bottom