Mtandao wa Lowassa wa 4u Movement wasambaratika rasmi

Kwamba hoja yako ni 4U kuvunjika...Nimekuuliza Wale Makakhaba wa Mama Ongea na Mwanao...Bado genge lao lipo?
Unaweza kuanzisha mada kuhusu kundi hilo. Hapa ni 4u Movement
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Taarifa rasmi ninayoleta kwenu ni kwamba ule mtandao wa vijana ambao walijikusanya kutoka katika maeneo mbalimbali ya nchi na nje ya nchi hususan kwenye vyuo wakimuunga mkono aliyekuwa mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA, Edward Lowassa umevunjika rasmi.

Taarifa za kuvunjika kwa mtandao huo ambazo nimezipata hivi punde kutoka kwa mmoja wa viongozi wa umoja huo zimekuja baada ya kukatika kwa mawasiliano baina ya Edward Lowassa na viongozi wa mtandao huo. Kwamba, tangu Novemba 2015, hakuna mawasiliano yoyote baina ya pande mbili hizo.

Pia kiongozi huyo amenidokeza kuwa, 4u Movement walikuwa wanakabiliwa na matatizo makubwa ya kifedha na kwamba tangu Septemba 2015, hali ya kifedha ilikuwa ngumu sana. Mathalan, amesema kuwa viongozi wa umoja huo walikuwa wanalipwa posho ya wastani wa shilingi 650,000 kwa mwezi.

Hata hivyo, anasema kuwa hawajalipwa posho hiyo kwa zaidi ya miezi minne sasa. Pia anasema kuwa waliahidiwa kulipiwa kodi ya ofisi kuanzia mwezi Januari 2016 baada ya kodi yao kwisha Desemba 2015.

Hata hivyo, mpaka leo amesema kuwa hawajapata fedha hizo na hawana uhakika wa kuzipata na kwamba wenye majengo wameamua kusitisha mikataba yao na hivyo kuwaamuru kuondoa vifaaa vyao ili wawapangishe wateja wengine.
Binafsi nilifikiri 4U movement ilikuwa mainly for uchaguzi. Na nijuavyo mimi uchaguzi huku bara ulishaisha na haukufutwa kama wa visiwani kwa hiyo sioni tena haja ya kuendelea kuharibu pesa kwa ajili ya 4U movement,ili wafanye kampeni ya nini na kwa nanai?
 
Mkuu, unayajua malengo ya mtandao huo?
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Taarifa rasmi ninayoleta kwenu ni kwamba ule mtandao wa vijana ambao walijikusanya kutoka katika maeneo mbalimbali ya nchi na nje ya nchi hususan kwenye vyuo wakimuunga mkono aliyekuwa mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA, Edward Lowassa umevunjika rasmi.

Taarifa za kuvunjika kwa mtandao huo ambazo nimezipata hivi punde kutoka kwa mmoja wa viongozi wa umoja huo zimekuja baada ya kukatika kwa mawasiliano baina ya Edward Lowassa na viongozi wa mtandao huo. Kwamba, tangu Novemba 2015, hakuna mawasiliano yoyote baina ya pande mbili hizo.

Pia kiongozi huyo amenidokeza kuwa, 4u Movement walikuwa wanakabiliwa na matatizo makubwa ya kifedha na kwamba tangu Septemba 2015, hali ya kifedha ilikuwa ngumu sana. Mathalan, amesema kuwa viongozi wa umoja huo walikuwa wanalipwa posho ya wastani wa shilingi 650,000 kwa mwezi.

Hata hivyo, anasema kuwa hawajalipwa posho hiyo kwa zaidi ya miezi minne sasa. Pia anasema kuwa waliahidiwa kulipiwa kodi ya ofisi kuanzia mwezi Januari 2016 baada ya kodi yao kwisha Desemba 2015.

Hata hivyo, mpaka leo amesema kuwa hawajapata fedha hizo na hawana uhakika wa kuzipata na kwamba wenye majengo wameamua kusitisha mikataba yao na hivyo kuwaamuru kuondoa vifaaa vyao ili wawapangishe wateja wengine.

Kwa hiyo hawa vijana walitaka Mzee Mamvi awalipe kwa kazi gani.......? Walipochemka na kuacha mafuriko yakielekezwa baharini ilishakwisha. Watulie waache kuruka ruka, Kwa wale waliokuwa chuo wakala Boom tunawapa pole maana Mzee wao yupo busy na kuchunga ngombe?
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Taarifa rasmi ninayoleta kwenu ni kwamba ule mtandao wa vijana ambao walijikusanya kutoka katika maeneo mbalimbali ya nchi na nje ya nchi hususan kwenye vyuo wakimuunga mkono aliyekuwa mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA, Edward Lowassa umevunjika rasmi.

Taarifa za kuvunjika kwa mtandao huo ambazo nimezipata hivi punde kutoka kwa mmoja wa viongozi wa umoja huo zimekuja baada ya kukatika kwa mawasiliano baina ya Edward Lowassa na viongozi wa mtandao huo. Kwamba, tangu Novemba 2015, hakuna mawasiliano yoyote baina ya pande mbili hizo.

Pia kiongozi huyo amenidokeza kuwa, 4u Movement walikuwa wanakabiliwa na matatizo makubwa ya kifedha na kwamba tangu Septemba 2015, hali ya kifedha ilikuwa ngumu sana. Mathalan, amesema kuwa viongozi wa umoja huo walikuwa wanalipwa posho ya wastani wa shilingi 650,000 kwa mwezi.

Hata hivyo, anasema kuwa hawajalipwa posho hiyo kwa zaidi ya miezi minne sasa. Pia anasema kuwa waliahidiwa kulipiwa kodi ya ofisi kuanzia mwezi Januari 2016 baada ya kodi yao kwisha Desemba 2015.

Hata hivyo, mpaka leo amesema kuwa hawajapata fedha hizo na hawana uhakika wa kuzipata na kwamba wenye majengo wameamua kusitisha mikataba yao na hivyo kuwaamuru kuondoa vifaaa vyao ili wawapangishe wateja wengine.
WATAKUA WAJINGA.KAMPENI ZIMEISHA WNATAKA MZEE AENDELEE KUWAPA HELA TU. WATANZANIA TUNAIVIVU WA KUFIKILIA WAKATI MWINGINE.
 
Hao 4u movement walitutukana sana Chadema kabla mzee hajatemwa ....alivyotemwa wakaja Chadema na kupokelewa kwa nderemo ....then wakaongoza jahazi la matusi kwa Dr Slaa huku vijana wa M4C wakifata mkumbo ....kwakweli inataka uwendawazimu kuendelea kuwaunga mkono Chadema ...labda kama ndio ajira yako na hakuna jinsi ....
 
We jamaa hamnazo kabisa,huyu fisadi kwa nini unapenda kumuandama hivi?? Agu mi simpendi huyu!!sijui kwa nini chama chetu chadema walimfanya agombee uraisi,? Ila wewe umezidi kumfuatilia huyu fisadi
Lizaboni hamuachi fisadi hadi awe mchungaji kweli. Siku akitupa picha mtandaoni anachunga amevaa pensi,kaushi,katambuga,fimbo na mbwa (sio bodyguard) ndio CCM itaridhika.
 
Hao 4u movement walitutukana sana Chadema kabla mzee hajatemwa ....alivyotemwa wakaja Chadema na kupokelewa kwa nderemo ....then wakaongoza jahazi la matusi kwa Dr Slaa huku vijana wa M4C wakifata mkumbo ....kwakweli inataka uwendawazimu kuendelea kuwaunga mkono Chadema ...labda kama ndio ajira yako na hakuna jinsi ....

Sasa ulitaka Slaa aitukane CHADEMA alafu yeye asitukanwe

Wewe na slaa wako nendeni mkanywe chai kama mnapendana sana

Sisi tuachie CHADEMA yetu
 
Back
Top Bottom