Mtandao wa Lowassa wa 4u Movement wasambaratika rasmi

Mtandao wa Lowassa wa 4u Movement wasambaratika rasmi

Sasa ulitaka Slaa aitukane CHADEMA alafu yeye asitukanwe

Wewe na slaa wako nendeni mkanywe chai kama mnapendana sana

Sisi tuachie CHADEMA yetu
Slaa jakutukana chadema aliwaambia ukweli.

Tatizo lenu kila anayewaambia ukweli eti amenunuliwa.

Slaa ,twaweza,synovate waliwaambia ukweli mkasema wamenunuliwa alafu waliyoyasema ndio yamewatokea kenge Wa njano nyinyi
 
Basi na yeye aliambiwa Ukweli..hajatukanwa popote

Kwani hujui kuwa slaa alinunuliwa?

CHADEMA imeshindwa kwa sababu ya Ubovu wa katiba ya Tanzania...Full stop....Hayo ya kina slaa na wenzake yalikuwa ni maandalizi tu ya kufanya uhaini wenu chini ya katiba yenu Mbovu

Nguchiro wewe
 
Huko Arusha, Pemba ,Moshi chadema imeongoza kwa kura nyingi je ni katiba gani iliyotumika huko.

Au ndio ikishinda chadema katiba nzuri, ikishindwa katiba mbaya.

Mko wabinafsi Mungu hayawabariki milele .

Koroboi kasoro utambi nyinyi
 
Naona single yako ya Babu Duni haikupata wasikilzaji vzuri. Xx umekuja na hii ya 4u movement!! Mbona hamjasema km ile mikataba yenu ya buku 7 pale Lumumba bado ipo au imefutwa. Twambie km mmeongezewa posho au mmeamua kujitolea!! Mmechanganyikiwa tu baada ya kutumbuliwa majipu mliyosababisha wenyewe. Huna habari nyngne zaidi ya Chadema?

Mgosi naona wewe bado umelala usingizi wa pono, baada ya ushindi wa kuigalagaza ukawa na mchungaji ng'ombe Wao, dau la vijana mahiri wa Lumumba liliongezwa mara tatu kuwa buku 21.
 
Huko Arusha, Pemba ,Moshi chadema imeongoza kwa kura nyingi je ni katiba gani iliyotumika huko.

Au ndio ikishinda chadema katiba nzuri, ikishindwa katiba mbaya.

Mko wabinafsi Mungu hayawabariki milele .

Koroboi kasoro utambi nyinyi

Hujielewi tunaposema katiba mbovu tunamaanisha nini

Unajua kuwa Mwenyekiti wa CCM anateua kila mtu anayesimamia uchaguzi?

Unajua kuwa mwenyekiti wa CCM anateua kwenye vyombo vyote vya usalama na mahakama

Unajua kuwa Katiba mbovu ya Kwenu hairuhusu uhoji matokeo ya Urais popote pale?

Unajua kuwa sharia zenu mbovu zinakataza kabisa independent verification ya Matokeo?

Utambue kuwa kwa katiba hii mngeweza hata kuipa chadema ushindi sehemu kadhaa ili kudanganya umma kuwa ipo haki...lakini when it comes to presidency...Never

Unakijua mlichokifanya Zanzibar

Acha Ufwaaaal wewe kuku pori
 
Kipi cha ajabu ulitaka waendelee kuwepo kwa sababu ipi wakati uchaguzi umeshaisha
 
Hujielewi tunaposema katiba mbovu tunamaanisha nini

Unajua kuwa Mwenyekiti wa CCM anateua kila mtu anayesimamia uchaguzi?

Unajua kuwa mwenyekiti wa CCM anateua kwenye vyombo vyote vya usalama na mahakama

Unajua kuwa Katiba mbovu ya Kwenu hairuhusu uhoji matokeo ya Urais popote pale?

Unajua kuwa sharia zenu mbovu zinakataza kabisa independent verification ya Matokeo?

Utambue kuwa kwa katiba hii mngeweza hata kuipa chadema ushindi sehemu kadhaa ili kudanganya umma kuwa ipo haki...lakini when it comes to presidency...Never

Unakijua mlichokifanya Zanzibar

Acha Ufwaaaal wewe kuku pori
MFA maji haachi kutapatapa nyumbu wewe.
Kila chama kina Wakala wake ,kuna fomu za kusaini kama haujaridhizishwa na mchakato., kuna mawakala kutoka taasisi mbalimbali zinaangalia.

Maeneo yote ambayo chadema ilitarajia kushinda ,imeshinda kweli ,..katiba inahusu nini hapo.

Kama mawakala wako wanakusaliti katiba inaingiaje hapo.???

Ni kwa nini chadema wamewapa viti maalumu viongozi Wa ccm!?!
 
We jamaa hamnazo kabisa,huyu fisadi kwa nini unapenda kumuandama hivi?? Agu mi simpendi huyu!!sijui kwa nini chama chetu chadema walimfanya agombee uraisi,? Ila wewe umezidi kumfuatilia huyu fisadi
Namkubali sana Lizaboni sio mnafiki.... Kaanza kumkataa Lowassa toka akiwa CCM.

Wanaukawa wengi ni wanafki kwan walimponda sana Lowassa kisa yupo Ccm,ila kwakua leo yupo ghetto kwao wako busy kumtetea..
.

Inatia huruma sana.
 
Mkuu

Ongea vitu Objective

Uchaguzi umeshaisha...Tujenge NCHI...Vipi wale makakhaba wa mama ongea na mwanao bado wapo na kikundi chao?
Ni kwa nini chadema imeteua viongozi Wa ccm kuwa viti maalumu chadema!?!?

Chama cha hovyo namna hii ndio kipewe nchi!?!!
 
Ni kwa nini chadema imeteua viongozi Wa ccm kuwa viti maalumu chadema!?!?

Chama cha hovyo namna hii ndio kipewe nchi!?!!

Haahahahahaha

Hao ni wanachama wa CHADEMA waliokuwa katika Special Mission huko CCM

Sisi tunawajua kama makamanda wetu
 
MFA maji haachi kutapatapa nyumbu wewe.
Kila chama kina Wakala wake ,kuna fomu za kusaini kama haujaridhizishwa na mchakato., kuna mawakala kutoka taasisi mbalimbali zinaangalia.

Maeneo yote ambayo chadema ilitarajia kushinda ,imeshinda kweli ,..katiba inahusu nini hapo.

Kama mawakala wako wanakusaliti katiba inaingiaje hapo.???

Ni kwa nini chadema wamewapa viti maalumu viongozi Wa ccm!?!

Hujielewi Nguruwe maji wewe

Tumekatazwa kukusanya fomu za mawakala wetu na kujumlisha kwa nchi nzima unategemea nini?

Nimeongelea Ishu za maan wewe unakuja na kuhorojoa tu hapa ukiwa Uchi uchi
 
Haahahahahaha

Hao ni wanachama wa CHADEMA waliokuwa katika Special Mission huko CCM

Sisi tunawajua kama makamanda wetu
Kumbe mliiba kura za ccm kupitia mamuluki wenu!?!

Ikn bado Mungu Mkubwa pamoja na wizi wenu bado ccm ikasonga mbele kwa kura nyingi
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Taarifa rasmi ninayoleta kwenu ni kwamba ule mtandao wa vijana ambao walijikusanya kutoka katika maeneo mbalimbali ya nchi na nje ya nchi hususan kwenye vyuo wakimuunga mkono aliyekuwa mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA, Edward Lowassa umevunjika rasmi.

Taarifa za kuvunjika kwa mtandao huo ambazo nimezipata hivi punde kutoka kwa mmoja wa viongozi wa umoja huo zimekuja baada ya kukatika kwa mawasiliano baina ya Edward Lowassa na viongozi wa mtandao huo. Kwamba, tangu Novemba 2015, hakuna mawasiliano yoyote baina ya pande mbili hizo.

Pia kiongozi huyo amenidokeza kuwa, 4u Movement walikuwa wanakabiliwa na matatizo makubwa ya kifedha na kwamba tangu Septemba 2015, hali ya kifedha ilikuwa ngumu sana. Mathalan, amesema kuwa viongozi wa umoja huo walikuwa wanalipwa posho ya wastani wa shilingi 650,000 kwa mwezi.

Hata hivyo, anasema kuwa hawajalipwa posho hiyo kwa zaidi ya miezi minne sasa. Pia anasema kuwa waliahidiwa kulipiwa kodi ya ofisi kuanzia mwezi Januari 2016 baada ya kodi yao kwisha Desemba 2015.

Hata hivyo, mpaka leo amesema kuwa hawajapata fedha hizo na hawana uhakika wa kuzipata na kwamba wenye majengo wameamua kusitisha mikataba yao na hivyo kuwaamuru kuondoa vifaaa vyao ili wawapangishe wateja wengine.

Yaani walitegemea kuendelea kuvuna wakati uchaguzi umeisha? Hawajui tofauti kati ya embe (tunda) la msimu ba dafu?
 
Kumbe mliiba kura za ccm kupitia mamuluki wenu!?!

Ikn bado Mungu Mkubwa pamoja na wizi wenu bado ccm ikasonga mbele kwa kura nyingi

Kenge wewe

Yaani mlivyo wajinga eti mnaaminishwa UKAWA walikuwa wanaiba kura...how?

System ya Ukusanyaji wa matokeo ilikuwa Very Manual....Hakukua na system Interplay Pale...Hakukuwa na system ya Kuhack

Walichozuiwa UKAWA ni kujumlisha kura zao ili wezi nyie mpate nafasi ya kujitangaza...Then Katiba inazuia kuhoji popote

Maalim amewawahi ndio maana hadi sasahivi Mna Kurunzinza matokeo ya Zanzibar

Fisi Maji nyie
 
Lowasa alikuchukulia mke Nini? haipiti siku mbili bila kumtaja
 
ile 'ngome'iliokuwa inaratibu wizi wa kura imekwenda na Bashiri
 
Back
Top Bottom