Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,266
- 98,312
Kweli magamba sasa ndio yameanza kuisoma nambaAbdallah Bulembo anaiungurumia familia yake, hana profile tena katika awamu hii, anajikomba apate hata ukatibu kata jambo ambalo halitakaa litokee, maana JPM hafanyi kazi kwa shinikizo, ushikaji wala ushoga kama JK! mmeanza kuisoma Namba!!!