Mtandao wa Lowassa wa 4u Movement wasambaratika rasmi

We jamaa kweli pungaa...sasa makundi ya Uchaguzi ya nini sasahivi na wakati uchaguzi umepita

Ninyi CCM bado mna makundi ya Kumsapoti magufuli ashinde?
Kwani uliambiwa kuwa 4u Movement kwa wa
Hii nchi ina watu wana ushabiki wa ajabu sana. Inawezekanaje utake kikundi chagizi kiwe ni taasisi ya kudumu. Wale wahuni wa kile kikundi cha "nimestuka" sasa hivi ofisi zao ziko wapi? Acheni ujinga na propaganda zenu rahisi hizo!!
mkuu, unakijua vema kikundi cha 4u Movement au unavamia hoja tu?
 
Kwani kina umaalum gani hadi nisikijue. Labda ungeniuliza kama nimeshawahi kufanya nacho kazi. Vijana wengi waliokuwa wanakiunda kikundi hicho walikuwa wanatoka kwenye vyuo vikuu. Ninachoshangaa mlitakaje hicho kikundi kiwe ni cha kudumu?
 
Lizaboni wewe ni kilaza na mpuuzi..hakuna siku umeandika mambo ya msingi kama uchumi wetu..matatizo ya maji n.k
ni lini nguruwe wa lumumba watajitambua?
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Taarifa rasmi ninayoleta kwenu ni kwamba ule mtandao wa vijana ambao walijikusanya kutoka katika maeneo mbalimbali ya nchi na nje ya nchi hususan kwenye vyuo wakimuunga mkono aliyekuwa mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA, Edward Lowassa umevunjika rasmi.

Taarifa za kuvunjika kwa mtandao huo ambazo nimezipata hivi punde kutoka kwa mmoja wa viongozi wa umoja huo zimekuja baada ya kukatika kwa mawasiliano baina ya Edward Lowassa na viongozi wa mtandao huo. Kwamba, tangu Novemba 2015, hakuna mawasiliano yoyote baina ya pande mbili hizo.

Pia kiongozi huyo amenidokeza kuwa, 4u Movement walikuwa wanakabiliwa na matatizo makubwa ya kifedha na kwamba tangu Septemba 2015, hali ya kifedha ilikuwa ngumu sana. Mathalan, amesema kuwa viongozi wa umoja huo walikuwa wanalipwa posho ya wastani wa shilingi 650,000 kwa mwezi.

Hata hivyo, anasema kuwa hawajalipwa posho hiyo kwa zaidi ya miezi minne sasa. Pia anasema kuwa waliahidiwa kulipiwa kodi ya ofisi kuanzia mwezi Januari 2016 baada ya kodi yao kwisha Desemba 2015.

Hata hivyo, mpaka leo amesema kuwa hawajapata fedha hizo na hawana uhakika wa kuzipata na kwamba wenye majengo wameamua kusitisha mikataba yao na hivyo kuwaamuru kuondoa vifaaa vyao ili wawapangishe wateja wengine.

Wale wapiga debe 32 wa Dr. JPM pamoja na Dr. JPM (kushinda Kwa kulazimisha) wengine wamesambaratishwa , Ref Ole Sendeka & Abdallah Bulembo ajabu iko wapi kwa 4U movement ku-concentrate na other business? so far kila jambo na muda wake, kwa ss wapo busy na other business muda ukifika watajoin pamoja ku show support.... For now acha other business ziendelee!
 
Pole sana ndugu. Naona una hasira sana na wana Lumumba. Haya sisi ni Nguruwe. Una kingine?
 
Wale wapiga debe 32 wa Dr. JPM pamoja na Dr. JPM (kushinda Kwa kulazimisha) wengine wamesambaratishwa , Ref Ole Sendeka & Abdallah Bulembo ajabu iko wapi kwa 4U movement ku-concentrate na other business? so far kila jambo na muda wake, kwa ss wapo busy na other business muda ukifika watajoin pamoja ku show support.... For now acha other business ziendelee!
Abdallah Bulembo hujamsikia akiunguruma? Ole Sendeka alishindwa kwenye uchaguzi. Hana forum tena
 
Kwani kina umaalum gani hadi nisikijue. Labda ungeniuliza kama nimeshawahi kufanya nacho kazi. Vijana wengi waliokuwa wanakiunda kikundi hicho walikuwa wanatoka kwenye vyuo vikuu. Ninachoshangaa mlitakaje hicho kikundi kiwe ni cha kudumu?
Kani wakati kinafanya kazi wafuasi wake hawakuwa wanachuo?
 
ni hela tu,lowasa ikulu anafuata hela,wafuasi wake wanamfuta lowasa kwa sababu ya hela kama sio hela ni ujinga.....ni hela..hela...hela....bila hela mambo hayaendi kabisa chadema
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Taarifa rasmi ninayoleta kwenu ni kwamba ule mtandao wa vijana ambao walijikusanya kutoka katika maeneo mbalimbali ya nchi na nje ya nchi hususan kwenye vyuo wakimuunga mkono aliyekuwa mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA, Edward Lowassa umevunjika rasmi.

Taarifa za kuvunjika kwa mtandao huo ambazo nimezipata hivi punde kutoka kwa mmoja wa viongozi wa umoja huo zimekuja baada ya kukatika kwa mawasiliano baina ya Edward Lowassa na viongozi wa mtandao huo. Kwamba, tangu Novemba 2015, hakuna mawasiliano yoyote baina ya pande mbili hizo.

Pia kiongozi huyo amenidokeza kuwa, 4u Movement walikuwa wanakabiliwa na matatizo makubwa ya kifedha na kwamba tangu Septemba 2015, hali ya kifedha ilikuwa ngumu sana. Mathalan, amesema kuwa viongozi wa umoja huo walikuwa wanalipwa posho ya wastani wa shilingi 650,000 kwa mwezi.

Hata hivyo, anasema kuwa hawajalipwa posho hiyo kwa zaidi ya miezi minne sasa. Pia anasema kuwa waliahidiwa kulipiwa kodi ya ofisi kuanzia mwezi Januari 2016 baada ya kodi yao kwisha Desemba 2015.

Hata hivyo, mpaka leo amesema kuwa hawajapata fedha hizo na hawana uhakika wa kuzipata na kwamba wenye majengo wameamua kusitisha mikataba yao na hivyo kuwaamuru kuondoa vifaaa vyao ili wawapangishe wateja wengine.
Uwaziri ,unaibu waziri na ukatibu mkuu umekosa tusubiri u DC au u rc labda unaweza pewa manake umbea umekuzidi.
 
We jamaa hamnazo kabisa,huyu fisadi kwa nini unapenda kumuandama hivi?? Agu mi simpendi huyu!!sijui kwa nini chama chetu chadema walimfanya agombee uraisi,? Ila wewe umezidi kumfuatilia huyu fisadi
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Taarifa rasmi ninayoleta kwenu ni kwamba ule mtandao wa vijana ambao walijikusanya kutoka katika maeneo mbalimbali ya nchi na nje ya nchi hususan kwenye vyuo wakimuunga mkono aliyekuwa mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA, Edward Lowassa umevunjika rasmi.

Taarifa za kuvunjika kwa mtandao huo ambazo nimezipata hivi punde kutoka kwa mmoja wa viongozi wa umoja huo zimekuja baada ya kukatika kwa mawasiliano baina ya Edward Lowassa na viongozi wa mtandao huo. Kwamba, tangu Novemba 2015, hakuna mawasiliano yoyote baina ya pande mbili hizo.

Pia kiongozi huyo amenidokeza kuwa, 4u Movement walikuwa wanakabiliwa na matatizo makubwa ya kifedha na kwamba tangu Septemba 2015, hali ya kifedha ilikuwa ngumu sana. Mathalan, amesema kuwa viongozi wa umoja huo walikuwa wanalipwa posho ya wastani wa shilingi 650,000 kwa mwezi.

Hata hivyo, anasema kuwa hawajalipwa posho hiyo kwa zaidi ya miezi minne sasa. Pia anasema kuwa waliahidiwa kulipiwa kodi ya ofisi kuanzia mwezi Januari 2016 baada ya kodi yao kwisha Desemba 2015.

Hata hivyo, mpaka leo amesema kuwa hawajapata fedha hizo na hawana uhakika wa kuzipata na kwamba wenye majengo wameamua kusitisha mikataba yao na hivyo kuwaamuru kuondoa vifaaa vyao ili wawapangishe wateja wengine.
Wewe kweli unamuogopa sana lowasa, na safari hii hupati tena kibarua jiandae kwenda kwenu ukalime ufuta nachingwea na namabengo
 
Mnategemea mtandao uendelee vipi kwa Sababu zipi na uchaguzi uliisha .....nafikiri wamefanya vema ,..Hii mitandao imetutesa Sana ccm toka Mwaka 1995

Baada..ya uchaguzi Mbowe akiwa na lowassa walifanya sherehe za kushukuru Hii mitandao ...ulikuwa mingi Sana ..ya vyuo ,walimu ,Madaktari etc ....lowassa is a very good strategist lakini chadema pia ni wajanja Sana maana wangeendlea na mitandao Kama ccm ingeleta Tabu ..simply kwa kuwa ni hatari kuwa na Askari ambao hawana cha kufanya ...
Mwenyekiti chadema alitoa tamko la kuvunja timu zote za kampeni hadi Wakati mwingine
 
Kwani uliambiwa kuwa 4u Movement kwa wa

mkuu, unakijua vema kikundi cha 4u Movement au unavamia hoja tu?
Haya tuambie wewe unajua 4u movement iliundwa kwa malengo yapi???...
 
Back
Top Bottom