Mtandao wa GSM Foundation, RC Makonda na kinachoendelea...

Hii habari naona wamekaaa kimya sababu kama mtuhumiwa alikuwa kwake polisi wakiri kuwa walimkamata Nyumban kwa mkuu wa mkoa
 
Kuna tetesi kwamba RC Makonda alikuwa na matatizo binafsi na Wema Sepetu Pamoja na Petit Man, wote wakiwa wana mtandao wa GSM. Na hata polisi walimkamatia Petitman Nyumbani kwa Makonda.
1. Je, Petitman alifuata nini nyumbani kwa Makonda ambako mtuhumiwa alipigwa vibaya sana kabla ya Makonda kuwaita Polisi?
2. Biashara gani inafanyika nyumbani kwa Makonda?
3. Je, kwanini Makonda ajichukulie sheria mkononi na kumpiga mtuhumiwa madawa ya kelvya?
4. Kipindi cha yuma, Makonda, Wema na Petitman walikuwa marafiki
5. Mtandao wa GSM makonda anatajwa. Je ni kweli, na ni mtandao gani?
6. Ile pickup yeye rangi ya Damu ya Mzee, Makonda kaitoa wapi?

Tunaiomba serikali ichunguze hizi tuhuma dhidi ya Makonda. Na kama ni kweli, huyu jamaa akamatwe na kupelekwa mbele ya haki. Kwani ni suala zito la kimaadili mtu anapotumia madaraka kulipiza kisasi. Hasa kuwatumia polisi

Rais wewe ni mtetezi wa wanyonge. Niliguswa sana ulimvyomsaidia Yule mama mjane. Hata kama hawa vijana wanatumia madawa ya kulevya, sawa sharia ichukue mkondo wale, ila pia haki itendeke. Kwanini Makonda awaite nyumbani kwake na kuwapiga?

Mlikuwa wapi siku zote? Leo hatuamini tunaona mnamchafua kwa vile katibua anga zenu. Mgesema jana tungeamini kidogo.
 
Kinachosumbua watanzania ni kuanza kusema maovu ya mtu pale anapoingilia anga zao. Mimi ni kati ya watu ambao wanadhani Makonda ni mwepesi sana kwenye kazi ya mkuu wa mkoa, anapaswa kuwa kwenye uenyekiti wa mtaa au vijiji. Ila kuanza kusema maovu yake baada ya aka ka-operesheni kake ka madala ya kulevya itaonekana kama ni kutaka kumpunguza nguvu, mimi nadhani kuna haja ya kuwa-expose watu waovu mapema kabla ya kusubiri hatua kama hii ya Makonda.
sasa kwani unga umeanza leo?
 
So, bila hii operesheni aliyoanzisha hakuna ambaye angethubutu kusema mabaya au mnaguswa moja moja ndo maan najiulza kwa nn watu walikaaa kmy muda wte?
 
Manina zenu, mmekuwa mnafanya biashara chafu huku mkiwa kimya, mmekosana sasa hivi ndio mnaanza kutajana. Kila mara tunasema list iko mezani ikulu lakini watu wanaikwepa hawaitolei maelezo yoyote. Hii awamu sehemu kubwa ukiona mtu anachukuliwa hatua basi ujue mwenye madaraka katumia nafasi yake kumfanyizia mpinzani wake ama mtu anayetofautiana naye.
Well Said!!!
 
Bora mumuache tu makonda aendelee na kazi yake lakini mkishindana nae mtamuongezea hasira tu,watu wakikaa kimya mwenyewe atatulia na hasira zake zitakwisha na busara zitamuingia.Mkianza kumsingizia mambo hatoweza kutumia busara
Hawajakamata dealer hata mmoja wamekamata mateja
 
Kinachosumbua watanzania ni kuanza kusema maovu ya mtu pale anapoingilia anga zao. Mimi ni kati ya watu ambao wanadhani Makonda ni mwepesi sana kwenye kazi ya mkuu wa mkoa, anapaswa kuwa kwenye uenyekiti wa mtaa au vijiji. Ila kuanza kusema maovu yake baada ya aka ka-operesheni kake ka madala ya kulevya itaonekana kama ni kutaka kumpunguza nguvu, mimi nadhani kuna haja ya kuwa-expose watu waovu mapema kabla ya kusubiri hatua kama hii ya Makonda.
Nakubaliana na wewe mkuu, ila ukijipa muda kidogo kulitafakari andishi lililoko mezani, unaweza kuona kama kuna muunganiko wa kukamatwa kwa wema, petit na kinachozungumzwa. kabla ya jambo kuwa exposed ni lazima kiwepo chanzo mkuu! Ni mawazo yangu kwamba twende na yote-tupigane vita dhidi ya madawa ya kulevya, lakini pia tuchunguze tuhuma na mwenendo dhidi ya Makonda! Tukipuuza mojawapo kati ya hayo tutakuwa hatulitendei haki taifa letu, na tutakuwa hatujitendei haki sisi wenyewe!
 
Kuna tetesi kwamba RC Makonda alikuwa na matatizo binafsi na Wema Sepetu Pamoja na Petit Man, wote wakiwa wana mtandao wa GSM. Na hata polisi walimkamatia Petitman Nyumbani kwa Makonda.
1. Je, Petitman alifuata nini nyumbani kwa Makonda ambako mtuhumiwa alipigwa vibaya sana kabla ya Makonda kuwaita Polisi?
2. Biashara gani inafanyika nyumbani kwa Makonda?
3. Je, kwanini Makonda ajichukulie sheria mkononi na kumpiga mtuhumiwa madawa ya kelvya?
4. Kipindi cha yuma, Makonda, Wema na Petitman walikuwa marafiki
5. Mtandao wa GSM makonda anatajwa. Je ni kweli, na ni mtandao gani?
6. Ile pickup yeye rangi ya Damu ya Mzee, Makonda kaitoa wapi?

Tunaiomba serikali ichunguze hizi tuhuma dhidi ya Makonda. Na kama ni kweli, huyu jamaa akamatwe na kupelekwa mbele ya haki. Kwani ni suala zito la kimaadili mtu anapotumia madaraka kulipiza kisasi. Hasa kuwatumia polisi

Rais wewe ni mtetezi wa wanyonge. Niliguswa sana ulimvyomsaidia Yule mama mjane. Hata kama hawa vijana wanatumia madawa ya kulevya, sawa sharia ichukue mkondo wale, ila pia haki itendeke. Kwanini Makonda awaite nyumbani kwake na kuwapiga?

Kwa hiyo wanyonge tuuze unga tutetewe na Rais sio? Two wrongs don't make a right song'
 
Mlikua wapi kusema uovu wake toka zamani, hata huyo Wema kama alijua Makonda ana mahusiano ya kimapenzi na Masogange alngoja nini kisema mpaka adakwe na msokoto ndio aseme sasa hata kama kuna ukwel nani ataamini
Kwani Wema kakwambia ni lini alifahamu hayo hadi uhoji alingoja nini? Msilete utetezi usio na mashiko, ni hivi Makonda ni kiongozi wa serikali, anapaswa kusimamia misingi ya maadili ya viongozi, tuhuma dhidi yake zinapaswa kuchunguzwa na vyombo husika, hata kama yeye anatuhumu wenzake! Kuwatuhumu na kuwatangaza watu kuwa wanajihusisha na madawa ya kulevya, haiwezi kutumika kama defence yake. Period!
 
Bahati nzuri Mh. Rais yuko makini sana, anajua sana nani ni nani..!!

Mh. Makonda kagusa maslahi ya watu kama huyu Musukuma sasa anaanza kupiga mayoweee...!! RC Makonda, ningefurahi azidishe kuwabana na washtakiwe wote watu wa Dar wanahusika na drugs, Mh. Rais alisema, hata awe nani, hata akiwa mkewe anahusika na madawa na akamatwe, peleka mahakamani, afungwe.. Mh. Rais yuko makini sana..

Huyu Musukuma anatumika hilo liko wazi.. hii vita inagusa watu wengi sana
Kwa kwa Raisi anajuwa kwamba Makonda ndio GSM au anajuwa kwamba na yeye ni muuza unga na mla rushwa basi vizuri kwa kumlinda kijana wake watanzania wanaona na dunia inaona makonda ndio mkono wa raisi
 
Yeye alikuwa wapi siku zote? Kwani issue ya Madawa ya Kulevya imeibuka baada ya Matokeo ya Form Four? Shule sita za Mwisho kitaifa zisingekuwa zinatoka Dar hii vita tungeisikia kweli? Wewe ni Wa Kupuuzwa, tuhuma kama zipo,haijalishi zinatolewa lini, any time, Criminal Offences have no Expire Dates! Be warned!
Mwisho wa siku lazima tuwe na pakuanzia, sasa Kama na wewe ni Team Wema...... Hapa sio Instagram!
 
Bahati nzuri Mh. Rais yuko makini sana, anajua sana nani ni nani..!!

Mh. Makonda kagusa maslahi ya watu kama huyu Musukuma sasa anaanza kupiga mayoweee...!! RC Makonda, ningefurahi azidishe kuwabana na washtakiwe wote watu wa Dar wanahusika na drugs, Mh. Rais alisema, hata awe nani, hata akiwa mkewe anahusika na madawa na akamatwe, peleka mahakamani, afungwe.. Mh. Rais yuko makini sana..

Huyu Musukuma anatumika hilo liko wazi.. hii vita inagusa watu wengi sana
Unapokwenda kwenye vita kama hii huku ukiwa na makandokando yanayohusiana na vita yenyewe Ni shida! MIKONO isiyo na Hatia yafaa sana ktk vita hii!
 
Bahati nzuri Mh. Rais yuko makini sana, anajua sana nani ni nani..!!

Mh. Makonda kagusa maslahi ya watu kama huyu Musukuma sasa anaanza kupiga mayoweee...!! RC Makonda, ningefurahi azidishe kuwabana na washtakiwe wote watu wa Dar wanahusika na drugs, Mh. Rais alisema, hata awe nani, hata akiwa mkewe anahusika na madawa na akamatwe, peleka mahakamani, afungwe.. Mh. Rais yuko makini sana..

Huyu Musukuma anatumika hilo liko wazi.. hii vita inagusa watu wengi sana

Mkuu hata ww unaingizwa mkenge kirahisi hivyo? Hakuna userious wowote kwenye hii vita kwani list iko hapohapo ikulu na hakuna hatua. Isitoshe mpaka tunaingia mitamboni waliokamatwa ni wasanii tena watumiaji na sio wauzaji. Halafu ukichimba ndani zaidi unakuta muanzisha vita ana mahusiano ya karibu na wafanyabiashara hii. Kwa ufahamu wako wote pamoja na kelele zote hakuna muuzaji hata mmoja. Kusoma ni shida na picha huoni?
 
Kuna tetesi kwamba RC Makonda alikuwa na matatizo binafsi na Wema Sepetu Pamoja na Petit Man, wote wakiwa wana mtandao wa GSM. Na hata polisi walimkamatia Petitman Nyumbani kwa Makonda.
1. Je, Petitman alifuata nini nyumbani kwa Makonda ambako mtuhumiwa alipigwa vibaya sana kabla ya Makonda kuwaita Polisi?
2. Biashara gani inafanyika nyumbani kwa Makonda?
3. Je, kwanini Makonda ajichukulie sheria mkononi na kumpiga mtuhumiwa madawa ya kelvya?
4. Kipindi cha yuma, Makonda, Wema na Petitman walikuwa marafiki
5. Mtandao wa GSM makonda anatajwa. Je ni kweli, na ni mtandao gani?
6. Ile pickup yeye rangi ya Damu ya Mzee, Makonda kaitoa wapi?

Tunaiomba serikali ichunguze hizi tuhuma dhidi ya Makonda. Na kama ni kweli, huyu jamaa akamatwe na kupelekwa mbele ya haki. Kwani ni suala zito la kimaadili mtu anapotumia madaraka kulipiza kisasi. Hasa kuwatumia polisi

Rais wewe ni mtetezi wa wanyonge. Niliguswa sana ulimvyomsaidia Yule mama mjane. Hata kama hawa vijana wanatumia madawa ya kulevya, sawa sharia ichukue mkondo wale, ila pia haki itendeke. Kwanini Makonda awaite nyumbani kwake na kuwapiga?

hii sasa iko serious kama ni kweli inabidi awajibishwe. Haruhusiwi kumuhoji mualifu wala kumpiga hiyo ni kazi ya police. Kama kweli amefanya hivyo sidhani kama ataachwa.
 
GaSoMu havina uhusiano na kijiji fulani maarufu?
 
Mlikua wapi kusema uovu wake toka zamani, hata huyo Wema kama alijua Makonda ana mahusiano ya kimapenzi na Masogange alngoja nini kisema mpaka adakwe na msokoto ndio aseme sasa hata kama kuna ukwel nani ataamini
Wewe sio mtoto wa mjin. Ndio maana uwezi kuamin
 
Back
Top Bottom