momentoftruth
JF-Expert Member
- Jul 5, 2014
- 2,050
- 2,173
FafanuaHuwa namdharau sana mtu anayetumia Facebook.
FafanuaHuwa namdharau sana mtu anayetumia Facebook.
Anajifanya bishoo atumii fb mshamba huyoNdio na ndio unaongoza kwa kua subscribers wengi kuliko mtandao mwingine wowote ule duniani.
Facebook — 3.05 billion
Ndio ndioNa wewe unatumia IG?
I repeat in English go check for mental health consultation, it is either you are suffering from Depression, Schizophrenia, Bipolar Mania au having Cerebral Palsy.... That kind of a question cannot be asked by a healthy person unless you have an altered mentalityTatizo la Facebook unakuja kulalamika Jamiiforums?
Biblia inasema Mbingu zitakunjwa kama ukurasa.Hakuna ajuaye siku wala saa.
Hiyo jamii forum yenyewe unayoitumia na kujiona mjanja ipo Instagram pia,Umepotea
Man up
Utakuwa unakazwa siyo kukazia.NAKAZIA
Biashara zote zangu nategemea. Fb na idadi kubwa ya wafanyabiashara bongoBado kuna watu wanatumia facebook?
Inashangaza sana
Mwanamume rijali hatumii snapchat wala IGMimi sioni kama ni ujanja kukosa account Facebook, Snapchat wamejipambanunua kuwa ni ya watumiaji wa kike?
Kama unatumia fb wewe ni mshamba tuUtakuwa unakazwa siyo kukazia.
kwanini usiwepo wakati ndo' unaongoza kuwa na wafuasi wengi duniani.Huo mtandao bado upo?
Watu mashuhuri duniani unaowajua wewe wanatumia Fb, sasa wewe nguchiro kutoka dunia ya tatu sijui unajikuta naniBado kuna watu wanatumia facebook?
Inashangaza sana
Ww ndiyo mshamba tunafanya biashara sana kama wewe unashangaa picha na kujitulia kila sasa asubuh ww ndiyo mbululaMwanamume rijali hatumii snapchat wala IG
FB imebaki kwa washamba
Wako active X (twitter)Watu mashuhuri duniani unaowajua wewe wanatumia Fb, sasa wewe nguchiro kutoka dunia ya tatu sijui unajikuta nani
Ni kawaida Kwa maskini na malofa kujifariji, kama hili linakupa faraja Sawa.Kama unatumia fb wewe ni mshamba tu