Mtandao upi una vifurushi nafuu Tanzania

Mtandao upi una vifurushi nafuu Tanzania

Mkuu embu dadavua kidogo uelewavyo kuhusu hizi kasi za kiutendaji kati ya 3g vs 4g!
Sizungumzii kasi,nazungumzia kutokupanda kabisa kwa 3g..usichokielewa kipi boss,ukiweka bando,tuseme 3gb kwa siku tatu,ili utumie internet si lazima uwashe data kwa simu yako,yaani kwenye simu yako pale juu kwenye alama za mtandao ni lazima itokee 3G au H+ ili uendelee kuperuzi internet,bila ya hizo 3G au H+ ina maana huwezi kutumia internet...

Sasa hao wajomba ndo harakati zao unaweza kujipinda sh 5000 ukanunua bando yako ya wiki labda GB kadhaa,unakuja kuwasha data hakuna 3G wala H+ inayopanda,lakini ukiangalia kwenye notification panel data iko on ukija kwenye browser no network yaani ni wiki nzima,inakuja kurudi kurudi service ya 3G au H+ tayari muda umeshaisha,bando yao washachukua na hujatumia hata mb 1,na wanakutumia sms ujiunge bando lingine kwamba lile la zamani lishaisha
Usiponielewa na hapo jamaa duh!
 
Mkuu unachoeleza ninakielewa, isipokuwa nilichogundua wewe mkuu ndiyo haunielewi.
Ipo hivii?
4g ni kama booster kwa mtandao unaosuasua.
Na 4g ni senior ya 3g kiutendaji(maana hautaki nitumie neno kasi).
Nenda ofisi ya mtandao wowote wa simu wakubadilushie line uliyonayo ya 3g wakupatie ya 4g ambayo ina nguvu ya utendaji zaidi ya hiyo uliyonayo sasa.
Mkuu tuvumiliane kidogo, lengo tueleweshane ili twende pamoja.
 
Wakuu mnatumia line gani zenye ma bundle nafuu?

Mimi natumia TTCL ila sasa, wamefanya utopolo wa kiwango chake, yani 3500 GB 2.5 kwa week. Wakati ilikuwa natumia 2500 GB 3 kwa week, yani sasa hiv natumia sana pesa kwa ajili ya bundle. Nyie mnatumia mtandao gani atleast nipate hizo gb 3 kwa bei isiyo zidi 2500.

TTCL bye bye.
Zantel
 
*149*15*10#
Nimebonyeza inaniletea tu option hii. Au wamebadilisha offer

Screenshot_20200810-135246.jpg
 
TTCL mnajikutaa voda,tigo au airtel nyie bado wachanga sokoni japokua ni wakongwe.
Japokua Mnakila kitu lakini huduma zenu zimekua expensive kuliko hata iyo mitandao ya kigeni.
Tunaomba magufuli afike hapo samora apangue safu yote.
Ngugu mteja,

Mabadiliko hufanyika ili kuendana na mabadiliko ya kibiashara,tafadhali piga *148*30# ili kujiunga na vifurushi vilivyopo kwa sasa.
 
TTCL naamini hii ni mali ya Watanzania, lakini mnakera sana laini zenu zimeishia mijini tu, huku vijijini kwanza kupata vocha mpaka upige safari uende mijini ila vocha za mitandao kama voda inapatikana kwenye mazingira karibia yote ya vijijini na mijini, nashindwa kuwaelewa mpo kwa ajili ya nani?
 
Wakuu mnatumia line gani zenye ma bundle nafuu?

Mimi natumia TTCL ila sasa, wamefanya utopolo wa kiwango chake, yani 3500 GB 2.5 kwa week. Wakati ilikuwa natumia 2500 GB 3 kwa week, yani sasa hiv natumia sana pesa kwa ajili ya bundle. Nyie mnatumia mtandao gani atleast nipate hizo gb 3 kwa bei isiyo zidi 2500.

TTCL bye bye.
Bado tanzania.tusubiri makampuni mengine yaje.yaliyopo ni shida tupu
 
Tunakoelekea TTCL nitawapiga chini

Bora nibaki zangu na Airtel, vodacom na tigo...baasi inanitosha
 
Back
Top Bottom