Hadrianus
JF-Expert Member
- Feb 19, 2020
- 2,112
- 5,271
Halotel 1000 GB 1 na dakika 10 halo to halo siku 7.
Tsh 1,000 unapata dakika 50 mitandao yote, tumia ndani ya siku 7.
Tsh 5,000 Dakika 300 mitandao yote mwezi mzima
Tsh 20,000 Dakika 450 mitandao yote, dakika 650 halo to halo, GB 15 kasi kubwa zikiisha GB kasi kubwa bado utaendelea kutumia internet kwa speed ya kawaida
Tsh 1,000 SMS mwezi mzima
*Vodacom ni kwa ajili ya MPESA
*Airtel ni kwa ajili ya mastercard
*Tigo ipo kwa ajili ya kupigiwa
*TTCL hawa simcard yao nilipasua pasu, maana unaweza unga GB1 ila hadi muda unaisha unakuta umetumia KB 50 tu, yaani unawasha data mara hazisomi, zikisoma inaleta E (2G), ukitumiwa sms inakata net kwa muda