True wanaboa mwendo wao wako slow balaa!Airtel ndo wako cheap ila utakubali kwenye speed, konokono akasome.
True wanaboa mwendo wao wako slow balaa!Airtel ndo wako cheap ila utakubali kwenye speed, konokono akasome.
Na ukiizimua kwa kutia salio jipya wanachanganya na mabaki yako wanakupatiaAirtel wako vizuri. Tsh. 1000 GB 1 siku 3. Hizo siku 3 hiyo inakwenda mpaka siku 4. Kwenye maongezi 5000 wiki moja mitandao yote. Hiyo inakwenda mpaka siku 8
Mimi niliwahama kabisa.baada ya kujiunga tu bando la 5000.Mabadiliko hufanyika ili kuendana na mabadiliko ya kibiashara,tafadhali piga *148*30# ili kujiunga na vifurushi vilivyopo kwa sasa.
Nipe menu mkuuJaribu Vodacom, GB 1, 1000 ila kuanzia GB 30 kwenda juu.
Mimi natumia kifurushi cha GB 38 kwa TZS 35,000 kwa mwezi ama GB 60 kwa TZS 50,000 kwa mwezi.
Airtel ndo wako cheap ila utakubali kwenye speed, konokono akasome.
Umeona?. Hawa ndio nimeona wako poa kwa sasaNa ukiizimua kwa kutia salio jipya wanachanganya na mabaki yako wanakupatia
Tunajua hivyo, ndio maana unapewa mrejesho hasi/chanya kutoka kwa wateja ili ujue matokeo ya mabadiliko yenu. Lakini unapotezea.Ngugu mteja,
Mabadiliko hufanyika ili kuendana na mabadiliko ya kibiashara,tafadhali piga *148*30# ili kujiunga na vifurushi vilivyopo kwa sasa.
Kutokana na uzoefu, ukiona hivyo, zima data, halafu washa tena.Airtel ndo wako cheap ila utakubali kwenye speed, konokono akasome.
Msipokuwa innovative mtaendelea kushika mkia, hivi hamjiulizi kwanini Halo Pesa kampuni ya juzi imewashinda nyie T-pesa yenu? Kwasababu you have nothing new to offer.Mabadiliko hufanyika ili kuendana na mabadiliko ya kibiashara,tafadhali piga *148*30# ili kujiunga na vifurushi vilivyopo kwa sasa.