Mtandao hatari wa mabomu wanaswa

Mtandao hatari wa mabomu wanaswa

For your information am not christian am simply humanitarian.

Petro kabla joogoo hajawika utakuwa umeshanikana mara 3....................
Ukinikana mbele za watu na mie nitakukana mbele za baba yangu aliye mbinguni.
haya aliyasema Yesu mwenyewe.
 
propaganda za vyombo vya Habari zimechangia kwa kiasi kikubwa kueneza chuki na fikra potofu, sio Tanzania tu bali ulimwenguni pote.

Matokeo yake Ndio tunayo yaona Leo, na Kuna hatari ya matokeo mabaya zaidi huko tuendako.

Umezungumza nusu ukweli, malizia ukweli wote. Vyombo vya habari vinaripori tu hizo unazodai kuwa ni propaganda, lkn hao wanaoripotiwa na vyombo hivyo vya habari au kuandika makala wanachukuliwa hatua gani na dola?
 
hahahhhahhah....................
open minded people always simple to get their views

Khaa mi nataka ujjinga aseee???!!
Wanangu bado hata hawajajua kuwa gari bila mafuta haliendi here comes uncircumsized selfish less civilized bush fallower anataka kuharibu shughuli kisa anatazama lakini haoni!!!!!

Over my dead body!!!!
 
Ila ulipuaji ule wa pale Soweto hakika polisi walihusika na @mwighulu nchemba walihusika!
 
Ninachokitambua wengi huwa tunayaona hayo mambo kijuu juu na kufanya hitimisho la kuwalaumu waislamu ila tunachoshindwa kutambua ni kwanini walipue? Wanataka nini? Haya mabomu wanayatoa wapi? Hao wanao wauzia hawajui kweli malengo ya hivi vitu?
Maswala ya ugaidi ni zaidi ya tunavyojua waislamu wamekuwa waangwa baada ya watu wenye njaa kutumika kupotosha ukweli wa dini ya kiislamu. Mimi sina uislamu lakini trust me katika matukio yote ya kigaidi lazima wapo ma master mind ambao pengine hatuwezi hata kuwazania kabisa. Na pengine usije kukuta huwa kuna ushirikiano mzuri sana kati ya wakristo na waislamu katika mambo haya. Ila kwakuwa waislamu background yao imeshawekwa kitanzini huwa waangwa. Ni kama vita ya madawa ya kulevya hawa wanaokamatwa ni wasafirishaji madawa si wauzaji wa madawa. The same kwa hii scenario hawa wanaolipua si ma main character. Na pengine hata wao hawajui wanawajibika kwa nani
 
af kuna watu wanaona kwamba kuitwa mkristo ama muislam ukafanya kosa fulan ni big deal na tena hufikia kuvictimize watu wote wa dini ile.

apart from siye kuwa na dini fulan lkn haijatufanya tusiwe binadamu wa kawaida na ambao tunaweza kukosea kiwango cha kawaida.

kisa kakutwa na mabom ni ishu lakin kwenye kutenda dhambi nyingine bado kunaonekana hakuna tabu

My dear you are either trying to be nice, au you are in denial maana ukweli is so ugly. Msome jamaa hapo juu aliyepoint out kuwa watu wa imani ile Ile wakifanya Yale Yale unategemea nini?

Recruitment inafanyika wapi? Angalia Yule shehe wa msimamo wa Kati wanavyojaribu kumuua.

Of course si wote tena ni wachache sana, lkn hao wachache wana sauti na wanafanya madhara makubwa.
 
For your information am not christian am simply humanitarian.

It was just about your ID, did i mention religion???!!! Aside from denomination!!!!
Humanitarian who is religious sensitive is more of a hypocrite than the word itself!!!!!
 
Tabu ya Mwafrika ni kutojitambua hebu ona yanayotokea pale Jamhuri ya Afrika ya Kati.Ukitafakari yale mauaji kwa akili yako yote utabaki kujutia kuzaliwa ndani ya Bara hili.Hebu wale walio na ile album ya Marehemu Remmy Ongala kuhusu Waafrka kutojitambua juu ya ukoloni na dini watuwekee ili tujikumbushe.
 
Mazuzu mkuu peri , mazuzu ndio yanatuharibia jamii wazi kabisa na mitandao pamoja na huu, mijadala ya kifalla kabisa inapewa uhuru humu!!!!!

mkubwa unajua unatetea PUMBA.
 
Last edited by a moderator:
Tatzo la waafrka ni moja tu, tukipokea kitu tunataka tuzidi hata kule kilipoanzia, hizi imani tumeletewa lakini unataka ujifanye mfuasi kuzidi mpaka mjukuu wa mtume.
 
sipingani na hilo ila napinga watu kuwa victimized kwa dini zao................ayo mabomu ni wakristow angapi ambao wanayo na wameyaficha?? ama ni kwakua hawajayafanyia tukio?? na je ingekuwa ni mkristo anayo ungesemaje\??

Na kwa hatua hii, sitashangaa nikisikia kuwa kuna Wakristo wapumbavu nao wameficha mabomu yao wakijiandaa ku-retaliate kama haya mambo yataendelea. Tujiulize, dola [serikali] na jamii, tulichukua hatua za kutosha wakati mafundisho potofu ya uchochezi yakitolewa hadharani.

Tukubali tu huu ukweli, tumelala sana wakati viashiria vyote tunaviona. Nadhani tunahitaji mjadala kuhusu mustakabali wa nchi yety.
 
mi nataka nijue motive yao hasa ni nini?.maana kama bado inafichwa.
Je wanataka arusha iwe islamic state ama wana madai yapi?
 
My dear you are either trying to be nice, au you are in denial maana ukweli is so ugly. Msome jamaa hapo juu aliyepoint out kuwa watu wa imani ile Ile wakifanya Yale Yale unategemea nini?

Recruitment inafanyika wapi? Angalia Yule shehe wa msimamo wa Kati wanavyojaribu kumuua.

Of course si wote tena ni wachache sana, lkn hao wachache wana sauti na wanafanya madhara makubwa.

Kama unasema wachache then unaongelea quantitative, hapo sasa conclusion unaipataje wakati premise yako ni kuwa "wachache"???!!!

Recruitment na training hiyo ni procedural kuliko religious aspect, sasa ukikomaa na dini wakati unajua ni zaid ya hapo unakuwa na upeo mfupi na hii vita hushindi kamwe!!!!
 
Na hatupo hapa kushabikia maovu ya baadhi ya watu wanaofanya kwa kutumia mgongo wa dini.

We are standing firm against those who use our beautiful religion as a shield for their interests.

Kuna siku nishawahi kuiskia audio speech ya mtu mmoja amejitambulisha kama muislam tena yupo msikitin huko huko arusha.

Alikuwa anaongea kwa kutumia lafudhi moja kama ya kilamu hivi.

Alikuwa anaongea speech moja mbaya sana na yenye chuki sana dhidi ya iman zingine.

1.alikuwa anasema kwamba damu yyte ya asiekuwa muislam ni haki.

2.alikuwa anasema kwamba mali zozote za asiekuwa muislam ni haki kuchukuliwa kwan wengine hawana haki hiyo na kadhalika.

3.polisi hawana haki kumiliki silaha mwenye haki ya kumiliki silaha hizo ni muislam na kwamba muislam yyte ukimkuta nazo silaha polisi ni ruksa kumpokonya na kuwa nazo.

4.ni ruksa kumuua kiongozi yyte asiesimamisha uislam tena ukimuua kikwete au pengo itakuwa bora zaid.

Na katika kauli hizo alikuwa anatumia vifungu vya maandiko kiupotoshaji huku akionekana kuungwa mkono na hao wanaomsikiliza.

You see watu kama hawa wakamatwe.

Na ikibid kama kufunguliwa mashitaka ya uchochez wafunguliwe kwani ni watu wanaoamua kwa makusudi kupotosha na kupandikiza chuki kwenye jamii.

Infact hata uislam wenyewe hausemi vitu kama hivyo.

Na haiwez kuvumilika kwa watu wengine kuja kuunyoshea vidole uislam kwa ujumla kwa vitendo vya wapuuz wachache.
 
mkubwa unajua unatetea PUMBA.

Yaani mabandiko yooote hoja yako ni hii tu? ??!!!
Hebu tumia ubongo bhana, najua unaweza kiweka hoja kabla ya majumuisho!!!!

Be my guest and prove me wrong please!!!!
 
Ipigeni basi hiyo iman marufuku.

Naona mnazunguka zunguka tu.

Mnahofia nini kuitokomeza hiyo iman iliyo kero na inayohamasisha mauaji??

Big Show, majibu yako hayana mchango wowote wa kutafuta suluhu, ila naona jinsi ulivyo defensive kutokana na michango inayoshambulia dini mojawapo.

Anyway, sikulaumu sana, mtu yoyote anaweza kuwa kama wewe lkn nilitegemea kuwa ungekuja na hoja za kuelimisha na kushauri means tufanye nini kujioondoa ktk hataru hii uliyo dhahiri.
 
I have heard this phrase many times. ISLAM IS A RELIGION THAT PREACHES PEACE. but when I look around I do not get that impression. all terrorist attacks are parpetrated by muslim fundamentalist e.g sept eleven in NY. seven seven in London. The Boko haram in Nigeria. Al shabaab closer home. the suicide attacks in Pakistan and Iraq. The Arusha bombings. These examples leaves me with no alternative. Islam serves another master who does not advocate love among muslims themselves (Pakistan. Afghanistan and Iraq) and among other people.
 
mi nataka nijue motive yao hasa ni nini?.maana kama bado inafichwa.
Je wanataka arusha iwe islamic state ama wana madai yapi?
Sasa kama unataka kujua motive wakati tayari una inclination unawezaje kufanyia kazi hiyo "motive scrutinization" ???!!!!!
Hebu weka akili kikazi bhana achana na imani!!!
 
Big Show, majibu yako hayana mchango wowote wa kutafuta suluhu, ila naona tu retaliation na jinsi ulivyo defensive.

Anyway, sikulaumu sana, mtu yoyote anaweza kuwa kama wewe lkn nilitegemea kuwa ungekuja na hoja za kuelimisha na kushauri means tufanye nini kujioondoa ktk hataru hii uliyo dhahiri.

Winama.

Huyo niliemjibu kauli ike nimemjibu vile kwa kuwa amegeneralize accusations zake kwa jamii yoote ya waislam pasi na kuangalia uhalisia.

Besides siungi mkono vitendo vyovyote vya uvunjifu wa aman unaofanyika kwa mgongo wa dini.

Hata siku moja.

Kama watuhumiwa wanathibitishwa na tuhuma husika wachukuliwe hatua za kisheria tu.
 
I have heard this phrase many times. ISLAM IS A RELIGION THAT PREACHES PEACE. but when I look around I do not get that impression. all terrorist attacks are parpetrated by muslim fundamentalist e.g sept eleven in NY. seven seven in London. The Boko haram in Nigeria. Al shabaab closer home. the suicide attacks in Pakistan and Iraq. The Arusha bombings. These examples leaves me with no alternative. Islam serves another master who does not advocate love among muslims themselves (Pakistan. Afghanistan and Iraq) and among other people.
Antibalaka.

Lord resistance army.

Dont forget they r also muslims.
 
Back
Top Bottom