Mtandao hatari wa mabomu wanaswa

Mtandao hatari wa mabomu wanaswa

Olesaidimu you will agree with me that islam is a straight jacket and has affected your intellectual faculties to a point of no return. Indeed islam is like opium I need not look further.

As far as I know no religion teaches violence but people use their religious beliefs to justify their violence. The Crusades for example and you know how many more
 
Watu wa iman moja wakawa na kasoro moja,ya kuua watu.Tatizo ni iman hiyo na sio watu.Kuushinda ugaidi lazima Pawepo na mapambano juu ya iman hizi

Naamini huzungumzii Uislamu, bali mafundisho fulani madhehebu mojawapo ndani ya Uislamu.

Hawa watu walianza mafundisho ya vurugu miaka ile ya serikali awamu ya pili lkm serikali ikawavumilia sana. Ilipoingia awamu ya nne wakaibuka tena kwa nguvu na serikali ikajifanya haiwasikii. Watu wengi wapenda amani walipiga kelele juu ya uchochezi wa mafundisho yao, ilisemwa na kuthibitishwa kuwa kuna mafunzo hadi ya kupigana kwenye nyumba za Ibada lkn kwa kuwa nia ya Wamnsiasa ni kura za uchaguzi bado serikali iliendelea kuwavumilia. Sasa vikundi hivyo vimepata nguvu ya kuuwa serikali ndio inatapatapa, kama serikali ingekuwa inatimiza wajibu wake ipasavyo naamini tusingefikishwa hapa.
 
Ipigeni basi hiyo iman marufuku.

Naona mnazunguka zunguka tu.

Mnahofia nini kuitokomeza hiyo iman iliyo kero na inayohamasisha mauaji??

not everybody is responsible for every act another person does.That would be a logical fallacy like We are all human,one human does evil,We are ale evil
 
Ifike mahali serikali ifute usajili wa dini hii hapa nchini
 
Naamini huzungumzii Uislamu, bali mafundisho fulani madhehebu mojawapo ndani ya Uislamu.

Hawa watu walianza mafundisho ya vurugu miaka ile ya serikali awamu ya pili lkm serikali ikawavumilia sana. Ilipoingia awamu ya nne wakaibuka tena kwa nguvu na serikali ikajifanya haiwasikii. Watu wengi wapenda amani walipiga kelele juu ya uchochezi wa mafundisho yao, ilisemwa na kuthibitishwa kuwa kuna mafunzo hadi ya kupigana kwenye nyumba za Ibada lkn kwa kuwa nia ya Wamnsiasa ni kura za uchaguzi bado serikali iliendelea kuwavumilia. Sasa vikundi hivyo vimepata nguvu ya kuuwa serikali ndio inatapatapa, kama serikali ingekuwa inatimiza wajibu wake ipasavyo naamini tusingefikishwa hapa.

Huwezi kutumia moyo, roho, akili na imani kwa wakati mmoja!!!!!
 
Tatizo mnaamini sana "dini" na "labeling" !!!!!

Deviants lazima watoke miongoni mwa jamii

Can we really blame Islam for all of this mess that's been happening because Islam is undoubtedly a religion of peace.It is not fair to judge Islam blindly based on the actions of the terrorists.
 
sishangai mbona chimbuko la vikundi vyote vya ugaid dunian ni hao jamaa watoto wa mama mdogo,na sijui wanamuabudu nani?

Na hata wakileta za kuleta huwa watoto wa mamdogo wanachezea kichapo. Si mnaona afrika ya kati (anti baraka), na mashariki ya kati (israel) wanavyowashikisha adabu? Waendelee waone.
 
aya bwana naona sasa hizi dini zinashika kasi ... alafu dini zetu za asili tumeziweka pembeni na kuabudu za wengeine ..................... any way aya bwana tuuwane wakati wao hata msikitini na makanisani hawaonekani tena
 
af kuna watu wanaona kwamba kuitwa mkristo ama muislam ukafanya kosa fulan ni big deal na tena hufikia kuvictimize watu wote wa dini ile.

apart from siye kuwa na dini fulan lkn haijatufanya tusiwe binadamu wa kawaida na ambao tunaweza kukosea kiwango cha kawaida.

kisa kakutwa na mabom ni ishu lakin kwenye kutenda dhambi nyingine bado kunaonekana hakuna tabu

Thank you.

Always i know that you are very smart upstairs.

Ubarikiwe my sister.
 
Can we really blame Islam for all of this mess that's been happening because Islam is undoubtedly a religion of peace.It is not fair to judge Islam blindly based on the actions of the terrorists.
Co-signed for endorsement sir!!!
 
tuendelee kujigawa kwa udini, tutaona matokeo yake siku sio nyingi.

Ni kina nani wanatugawa, na tumechukua hatua gani; ndani ya dini zetu, kwenye jamii yetu, na serikali yetu? Nani alaumiwe?
 
aya bwana naona sasa hizi dini zinashika kasi ... alafu dini zetu za asili tumeziweka pembeni na kuabudu za wengeine ..................... any way aya bwana tuuwane wakati wao hata msikitini na makanisani hawaonekani tena

Dont give up huny, we should stand firm and say no to these tendencies!!!
 
Na hata wakileta za kuleta huwa watoto wa mamdogo wanachezea kichapo. Si mnaona afrika ya kati (anti baraka), na mashariki ya kati (israel) wanavyowashikisha adabu? Waendelee waone.

Kwaiyo mkiua kwa mgongo wa dini zenu ni haki

Wengine wakiua kwa mgongo wa dini zao ni magaidi.

Tutafika tu.

Twendeni.
 
Back
Top Bottom