Mtambuzi Pub

Inafunguliwa rasmi leo maeneo ya Tabata Ubaya Ubaya.....
Naomba mniunge mkono wana JF, ndio nimeanza mchakato wa kujiajiri ili kuondokana na umasikini.

Nyama choma, ndizi choma, na mchemsho wa kuku wa kumwaga.........

Ah mtambuzi unatuonea yani umeiweka tabata makusudi ili tusije sio na mbona kwenye menu kitimoto cha foil hakuna :biggrin1:
 
Hongera mtambuzi kwa kuwa creative. Once i am at dar i'll make sure nakuja. Kuna club inaitwa nyantare ni maeneo gani pale? I know from kwazulu natal tabata muslim ukienda mbele unapita nyantare opp st marys college on ur way to rufita. Wapi kwako??
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom