Mtambuzi Pub | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtambuzi Pub

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Mtambuzi, Sep 8, 2012.

 1. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #1
  Sep 8, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Inafunguliwa rasmi leo maeneo ya Tabata Ubaya Ubaya.....
  Naomba mniunge mkono wana JF, ndio nimeanza mchakato wa kujiajiri ili kuondokana na umasikini.

  Nyama choma, ndizi choma, na mchemsho wa kuku wa kumwaga.........
   
 2. Root

  Root JF-Expert Member

  #2
  Sep 8, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 26,242
  Likes Received: 12,962
  Trophy Points: 280
  Hatua nzuri hii itasaidia kupunguza gap za mishahara ila jipange maana huwa zinafunguliwa nyingi sana so service ni kitu muhimu,usafi huvuta sana wateja
  All in all all the best.
   
 3. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #3
  Sep 8, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,995
  Trophy Points: 280
  Ndo wapi hapo Ubaya ubaya?
  Au tukija via private kuna alama gani?
   
 4. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #4
  Sep 8, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Muonekano wa Mtambuzi Pub kwa nje, hapo vijana wa kitaa wakicheza Pool......


  [​IMG]
   
 5. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #5
  Sep 8, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Unashuka Tabata relini halafu unatembea klilomita moja kuelekea St. Mary College, kisha unakata kushoto unatembea mpaka Ubaya Ubaya, halafu unaingia kulia unashuka bondeni utanikuta mzee mzima niko kaunta mwenyewe nasongesha
   
 6. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #6
  Sep 8, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,995
  Trophy Points: 280
  Asante.
  Ila c tunakunywa huku unatupigia hadithi ee!!(joke)
  Ok ngoja nijipange tutakuja kukuunga mkono.
   
 7. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #7
  Sep 8, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Songesha kwanza baadae na vyumba vya mapumziko mafupi , vitahitajika.
   
 8. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #8
  Sep 8, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Hatua tano kutoka kwenye Pub kuna gest house na bei yao ni rahisi sana, chapchap buku tano tu, kulala elfu saba....
   
 9. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #9
  Sep 8, 2012
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Hongera sana, ungeandaa siku ya ufunguzi rasmi wa hiyo Pub na kutumpa mwaliko maalum wana JF siku chache kabla tuweke maratiba vizuri ingekuwa nzuri zaidi tuje tufahamiane pia! (Joke)
  Tuko pamoja mkuu, tutakaribia!
   
 10. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #10
  Sep 8, 2012
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Hii ni Pub tu ndugu zangu, maalum kwa Nyama choma, ndizi choma, na mchemsho wa kuku wa kufa mtu, karibuni. Kwa leo pekee yake mimi na Mtambuzi tutakuwa tunawahudumia kwa nyama choma, njoo ushuhudie mwenyewe!
   
 11. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #11
  Sep 8, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Kuna jamaa yangu amekuja jana kutoka AR kunipa taff ni bingwa wa nyama choma kule Kwa Moromboo Arusha......!
   
 12. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #12
  Sep 8, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Kwa wale watakaotaka kuja kuna jamaa anaendesha bajaji hapo relini maarufu kwa jina la Tombya, yeye atakuleta kwa buku tu....
   
 13. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #13
  Sep 8, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,918
  Likes Received: 219
  Trophy Points: 160
  viburudisho wapo au nakuja nae?
   
 14. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #14
  Sep 8, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  Hongera sana
  tutakuja siku moja...keep it up
   
 15. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #15
  Sep 8, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,728
  Likes Received: 12,797
  Trophy Points: 280
  Atakuwa bingwa wa nyama ya mbuzi maana kule ndio penyewe!

   
 16. MATESLAA

  MATESLAA JF-Expert Member

  #16
  Sep 8, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,252
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Aiseee babaangu mtambuzi kuna mtori kweli????
   
 17. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #17
  Sep 8, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,995
  Trophy Points: 280
  Jamani jamani!!
   
 18. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #18
  Sep 8, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,995
  Trophy Points: 280
  Hauhitaji muhudumu wa ziada toka Jf?
  Mimi nipo,
  Na Sihitaji malipo
   
 19. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #19
  Sep 8, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Vipi kuhusu vinywaji...maana natafuta kazi ya barmaid pia.
   
 20. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #20
  Sep 8, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,728
  Likes Received: 12,797
  Trophy Points: 280
  Sijui namimi nijitolee maana nahisi st paka mweusi atakuwa ana lalal kwenye hiyo pub ya mtambuzi:

   
Loading...