Mtambuzi mie, nishageuka Simba Mzee mchezewa sharubu...!

Mtambuzi mie, nishageuka Simba Mzee mchezewa sharubu...!

Tuelekeze na sie tuje kushika na kubusu sharubu za zahabu.......life lenyewe ndo ivi tena
 
Haka kadingi kanafanya kweli, iweje kenyewe tu kila siku visa havikaishi!! Siku kakipelekwa gerezani nitaomba kapelekwe gereza la kike ili kakitoka kasisumbue tena!
Kaone vile.......
Wewe ungenikuta enzi zangu wakati ninawachambua kama karanga mabinti ningeshakusasambua ujinga ungeshakutoka...
Mwana Sitimbi wewe....LOL
 
Tuelekeze na sie tuje kushika na kubusu sharubu za zahabu.......life lenyewe ndo ivi tena
Unajua Simba mzee wakati mwingine hung'ata, hebu jaribu uone.....
 
Ndio uzuri wa wazee nyie!!

Kwisha habari yako.......

Wewe na wazee wenzio (cc @Aspirin na Dark City) muwe mnapitia mageto ya vijana mnapata mambo fulani....

Na hapo bado hujastaafu watu waanze kukulipizia ubaya uliokuwa unaufanya kwa mabinti na watoto wa watu.....

Mrudie Mungu ndio pona pona yako Bro
 
Last edited by a moderator:
Kaone vile.......
Wewe ungenikuta enzi zangu wakati ninawachambua kama karanga mabinti ningeshakusasambua ujinga ungeshakutoka...
Mwana Sitimbi wewe....LOL
kheee babu pumu!
umuwache mdogo wangu! Kipipi dear hiki kibabu kisikutishe !kwanza hakina lolote si leo wala jana yake!
DEBE TUPU...................................................................
mustach hana sharubu azitoe wapi?
 
Last edited by a moderator:
Ndio uzuri wa wazee nyie!!

Kwisha habari yako.......

Wewe na wazee wenzio (cc @Aspirin na Dark City) muwe mnapitia mageto ya vijana mnapata mambo fulani....

Na hapo bado hujastaafu watu waanze kukulipizia ubaya uliokuwa unaufanya kwa mabinti na watoto wa watu.....

Mrudie Mungu ndio pona pona yako Bro
usipoangalia na wewe utafika huo umri utaanza kujutia!
manek wapotea sana banaaaa mpaka Boflo anaelekea kukuzidi kete!
kweli we ni wa kushindwa na @bofo kweli!ahaaaaaaaaaaaaaaah maskhara bana!
 
Last edited by a moderator:
usipoangalia na wewe utafika huo umri utaanza kujutia!
manek wapotea sana banaaaa mpaka Boflo anaelekea kukuzidi kete!
kweli we ni wa kushindwa na @bofo kweli!ahaaaaaaaaaaaaaaah maskhara bana!

We mtoto maneno kuntu hayo hapo kwenye red, kidole na macho..... hayo hapo kwenye red..!!

Huyo kijana Boflo namuonaga na biti zake hapa, mimi ni kijana niliyepikwa na wazee na nimejifunza kwenye makosa ya wazee wangu lol hivyo najua atakapoangukia boflo wala hanipi shida!!

Mi hayawezi kunipata yaliyompata Mzee Mtambuzi sababu nacheza kwa hatua, nimepata liwazo la kutosha toka kwa Binamu yangu Kongosho, kipindi kile nipo eda.......
Twende aste aste snowhite hao wa haraka haraka wakina Boflo wanawahi sana kuchoka.... u' ve been warned sweetyheart lol...
 
Last edited by a moderator:
Mtambuzi uzi wako niliuona sijui nilipitiwa na nini kuusoma ila umenifanya nicheke ase
hebu kaa chini ujiulize una nini ambacho mabinti hawaachi kukwepesa macho kukufuata au kukitafuta
Uzee mwingine wa dhahabu aise yaani unazeeka huku bado unalipa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom