Hivi na wewe kakuita nani hapa?Hahahahaaa.......Simba zee halina nyimbo. Viswala vyajipitisha viliwe shuti kupigana vyenyewe kwa vyenyewe
Mie namjua simba mmoja tu hapa
Naye ni Retired, haumi hata swala amlalie kwenye ulimi na meno
Hivi na wewe kakuita nani hapa?
Halafu mwambie yule shogako charminglady arudi haraka JF anatafutwa ana kesi ya kujibu kule Chit Chat
![]()
Eheeee wiki ijayo nitaidadavua hii sura hapa JF.........
Hahahahaaa.......Simba zee halina nyimbo. Viswala vyajipitisha viliwe shuti kupigana vyenyewe kwa vyenyewe
:A S shade::A S shade::A S shade:
Sema jamani Kaizer.....mi mwenzenu nyie misimba msioweza hata kuunguruma naipenda.......lini utakuja nichezee sharubu
Halafu wewe???
Naomba usinilazimishe nifute kauli yangu hapo juu na kuanza kumwaga laana...lol!!
Babu DC!!