Mtambuzi mie, nishageuka Simba Mzee mchezewa sharubu...!

Mtambuzi mie, nishageuka Simba Mzee mchezewa sharubu...!

We mzee mbna unajisifu hvyo....then hii thread haiendan na umr wako...shkamoo mzee
 
Afu na wewe na maneno yako hebu muache babangu.
Mtambuzi ngoja nikutaftie viagra uwasurprise hao wanaojipitisha pitisha.na ujue kabisa wanakupendea mahela yako. hawajui maza kakutoa mbali eeh.
ngoja hao mabinti waje wadhibitishe kupinduliwa pinduliwa kama chapati

hayo macho ulizaliwa yakiwa kiyahawani hivyo hivyo au baada ya kukua ndio umeyageuza ya kihayawani??
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
KakaKiiza na Paloma mnatakatana???
sikawaelewa hata kiduchu
CC: Madam B
Wewe ninani ni Me/ke???pls!au wewe ninani? kwani nikihashiria gani kimekwambia tunatakana??au JF ni guest house!useme umetukuta tunatoka ndo ukabaki na maswali kibao kichwani mwako?umekosea sasa ninayemtaka ndo umemfanya shahidi! Madame B, isitoshe Paloma ni mwanamke
 
Last edited by a moderator:
Afu na wewe na maneno yako hebu muache babangu.
Mtambuzi ngoja nikutaftie viagra uwasurprise hao wanaojipitisha pitisha.na ujue kabisa wanakupendea mahela yako. hawajui maza kakutoa mbali eeh.
Muelekeze kwa MziziMkavu... Anauza V.PILLS
 
Afu na wewe na maneno yako hebu muache babangu.
Mtambuzi ngoja nikutaftie viagra uwasurprise hao wanaojipitisha pitisha.na ujue kabisa wanakupendea mahela yako. hawajui maza kakutoa mbali eeh.

hahahaha dingi yako ni mkwaree, kama ni penseli hata kile kichuma cha ufutio kingekuwa kishaisha lol
hiyo viagra unayomtafutia umtafutie na Dr kabisa la sivyo... atadondokea kifuani kwa......
 
Ha ha ha, mbona una bifu sana??

Lucas poa zaidi,si unajua samaki wao wa kuchoma alivyo mtam?
I miss you too.
Kopi aione zombie...ujumbe: imekula kwako chezeiya bilionea la kihaya likitia timu vidampa wote mnapeperuka....dadadadeki!
 
ulikuwa wantafuta kwani?
Una maswali mengi, kwani we ni polisi?? lol...... Jamani kukumiss kwani ni kosa, yaani waswahili bwana mpaka mtu aseme kabisa kuwa "Nimekumiss"!! Wakati mwingine mtu akijishaua tu unamuelewa kiaina tu kuwa mmhhh huyu kakwama.
Utatafutwa na wangapi humu..?
Anajifagilia eh Bro?? Ila kaa pembeni acha hii ngoma tuicheze vijana.... lol
 
ahahahhahahahahahah
huwaoni wanaotafutana ?

Mbona wiki iliyopita nilikuja kwa mkoloni wako kuchezewa sharubu na kabinti kamoja hata hukuniona kabisa pamoja na kunipita kama mita kumi kutoka niliposimama... LOL
Iwapo ungeniona naamini ungepiga yowe kwa hamaki na kunipigia upatu kuwa FATAKI nimetia timu kwenye eneo nyeti..............
 
Mkuu Mtambuzi kumbe ni wewe ulikuwa umesimaam na kabinti fulani hivi, una bahati nilikwua na kipindi na mwalimu snowhite la zivyo ningekuchomea utambi aisee...uliona tulivyo na 'vifaa vikali pale?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom