Mtakufa nyie, mie nitawazika

Sana kwa mzee mwinyi wamezaliwa matajiri wengi sana.
Mfano S.Bakhresa, R.Mengi, Rostam alifanikiwa kuendeleza business zake kwa ukubwa n.k
Kuna kundi linasapoti ujima na ujamaa na kuna lingine linasapoti ubinafsishaji nipo na kundi la pili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…