Mtake msitake Zitto ni jembe

Status
Not open for further replies.
uroho gani ulio uona wewe?sisi tulio kanda ya ziwa tunamkubali sana zito kweli ni jembe.songa mbele zito usitishike na watu wachache sana wanaokuchafua.

wameshaumbuka mbona na wanasaka roho yake wamuue
 
Nenda kapewe ujira wako maana kawa2ma muanzishe thread nyingi za kumsafisha kadiri muwezavyo. Nawaona mpo wengi na mmeingia kwa fujo. Acha ku2miwa b.w.e.g.e wewe nenda kajiajiri acha ku2mika kama condom

UMEKOSA BAN WEWE?Naona unaleta utani wakati mods wapo kazini
Zitto we trust in you
 
Ni vita ya chadema huru na CDK.

Zitto unastahili kupewa urais hata bila kupigiwa kura.Kijana unaweza sana wewe
 

Unalipwa sh ngapi kuja kumchafua zito hapa. Kijana,mwambie aliyekutuma kanoa step meen. Mbona kama vile mna vichwa vya pig?
 
Unalipwa sh ngapi kuja kumchafua zito hapa. Kijana,mwambie aliyekutuma kanoa step meen. Mbona kama vile mna vichwa vya pig?
msumari umekuingia huo,Pole poleee.Jikaze kijana ndio itakayokuponya.Zitto for life
 
ZITTO ZUBERI KABWE NI HATARII,,,AMEAGA KWAO

WEKA MBALI NA IKULU

:madgrin:
 
Hawa ni magamba wanamwaga fitina hapa. Watashindana lakini hawatashinda.
 
Lema jembe arusha,Zitto jmbe la kitaifa.nani zaidi
Zitto tupo nyuma yako.


Huwezi kuwa jembe la kitaifa huku umejaa ubinafsi na ubaguzi wa kikabila, kikanda, kidini, kielimu na kishirikina. Kama ni jembe basi limeingia kutu ya ubaguzi na sasa limejivunja kwa ushirikina. Nani analitaka jembe lenye kutu na lililovunjika? Zitto kama alikuwa chumvi basi imeharibika, imeoza na kuvunda na chumvi ikisha kuharibika ifanywe nini tena. Iliyobaki ni kutupwa na kukanyagwa pamoja na nyie mlio nyuma yake (sijui mnafanya nini huko nyuma ya jembe-kutu lililovunjika). Eti anajua kujenga hoja. Huko kutishia watu uchawi ndio hoja ama kiroja? Kila siku kujifagilia, ooh mimi, ooh mimi, ubinafsi mtupu. Utaifa na ubinafsi wapi kwa wapi?

Mwenyewe na wafuasi wake nafsi zenu zinawasuta ndio maana mnakosa usingizi. Usaliti ni kitu kibaya na waliowahi kufanya hivyo waliishia kujinyonga. Msijifariji, Mungu hamfichi mnafiki, tena Mungu hadhihakiwi kwa maana apandacho mtu ndicho atakachovuna. Sasa wakati wa mavuno umefika, itakuwa dhahiri punde kuwa jembe lenu lilipanda nini.

Chema chajiuza, kibaya chajitembeza. Mmerusha roho mpaka zimedakwa na ibilisi kwa uzandiki, fitina uadui na chuki. Jembe linalotishia uchawi hilo hakika limevunjika na limejaa kutu. Halilimi tena halifai kuitwa jembe. Hicho ni kimeo. La kuvunda halina ubani. Mnajisumbua.

Dawa ya mjinga ni kuumia
 

Mkuu Ritz
Kamanda Mwita Maranya amefunguka leo siku zote amekuwa akijificha na kudai hana kundi; yale maneno yako yametimia kamanda ni mmoja wa wanaotumiwa na slaa leo anamhukumu mtu kwa porojo na ngonjera za JF sijui ni vigezo gani ametumia kumhukumu Zitto; huyu ndiye mtu labda siku moja atakuwa mwenyekiti wa Chadema wa mkoa; si ameishia hapo tu anajaribu kumtisha Zitto; hivi hii ndiyo demokrasia? Wanachadema wa Dar watakuwa na kazi kubwa sana chini ya mwenyekiti mwita akisema vua chupi itabidi wanachama kina Matola wavue vinginevyo watafukuzwa bila kupewa nafasi ya kujitetea.

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Last edited by a moderator:

Mkuu Ritz
Kamanda Mwita Maranya amefunguka leo siku zote amekuwa akijificha na kudai hana kundi; yale maneno yako yametimia kamanda ni mmoja wa wanaotumiwa na slaa leo anamhukumu mtu kwa porojo na ngonjera za JF sijui ni vigezo gani ametumia kumhukumu Zitto; huyu ndiye mtu labda siku moja atakuwa mwenyekiti wa Chadema wa mkoa; si ameishia hapo tu anajaribu kumtisha Zitto; hivi hii ndiyo demokrasia? Wanachadema wa Dar watakuwa na kazi kubwa sana chini ya mwenyekiti mwita akisema vua chupi itabidi wanachama kina Matola wavue vinginevyo watafukuzwa bila kupewa nafasi ya kujitetea.

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Last edited by a moderator:
SEBM
kwa nini usirudi na ID yako ya kawaida? Zitto amewajibu vile inavyotakiwa mnajitahidi sana kumfanya slaa hayumo kwenye sakata hili; ukweli babu ndiye mhusika mkubwa kina Ben Saanane ni vikaragosi tu vinatumiwa kama ambavyo wewe unavyotumiwa; slaa ameshadanganya mengi sioni huo utukufu unaotaka kumpa!

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Last edited by a moderator:
Wewe gamba chama nimeshakuambia kajifunze kujenga hoja upo chini sana mkuu na kukaa kote USA kwa hela za ufisadi kutoka kwa baba yako haijasaidia kitu
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli zitto kabwe ni jembe ila sio kwenye siasa bali kwenye uchawi maana anaweza kuua hadi panya!na wewe kwa kuwa ni mshirikina mwenzake lazima umuone jembe
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…