Mtaji wa Tsh. Milioni 1 hadi 5: Naweza kufanya Biashara gani Tanzania?

Mkuu kwa awamu hii tena wew bado huna experience kabsa kwwmye biashara,hata ufanye biashara gan,tena mwanzo qa mwaka huu,yaan had uje ukae sawa mkuu hyo mil5 itakutokea puan,mim nna experienc kuubwa kwwnye biashara,..tuliza akil yako,hyo hela kuikopa bila kufanya upembuz yakinifu ulifanya makosa makubwa...we si unaona watu wanafunga frame sasa,si chakula si biashara gan,hali ni mbaya sana..mi nna biashara 3,nmefunga mbil mwez uliopita,imebak hii 1 nayo naipa muda tu...kua makin,stak kukukatisha tamaa ila biashara had uje kukaa sawa,sio kwa hela hyo ya mkopo mkuu,itakuumiza
Kweli Mkuu, sidhani kama ntapata taabu kwani makato yanafanywa kwa salary yangu,pia tambua kuwa utawala huu yakupasa kuchukua chako maapema
 
Kwa nilipo pesa hiyo inatosha kununua pikpik mbili na change inabaki...unatafuta vijana unaandikiana mkataba wa mwaka mzima....kwa kila siku kukuletea elfu 10... akimaliza mwaka anaimiliki pikpik jumla.....piga hesab zako kuhusu hii project
 
labda ufanye biashara haramu na sio halali,,,, kwa mazingira ya tz na kodi ulipe kila kitu alafu uvune 500k per month? big joke. sio kwamba hakuna biashara itakayokuingizia kiasi hicho cha pesa, tatizo mtaji ni mdogo.
Usimkatishe tamaaa,mwaka jana kuna kijiwe nikianzisha kwa laki8,nilikuwa maingiza 280000----30000 profit per month,sasa itakuwa hiyo 5ml!?
 
Naitwa Vmax nipo Marekani kwa sasa kwenye harakati za Maisha. Shuka za kudarizi nimpango mzima soko najua lilipo la uakika . Nipo kwenye harakati ya kutafuta watu wakufanya nao kazi nia yangu nikukenga kiwanda kazi usiku na mchana ikiwa upo tayari tuwasiliane nikupe details kwa urefu ili ufanye uhamuzi kwa utakayo yaskia kutoka kwangu
 
Habari wapendwa katika bwana,

Mimi ni muajiriwa serikalini, nimeamua nichukue mkopo kutokana na ukweli kwamba serikali ya awamu ya tano si rafiki kwa watumishi wa umma, kufukuzwa kazi kuko nje nje tu kwa huu utawala uliopo,

Hivo nimeamua nichukue changu mapema hata kama ikiitokea bahati mbaya nikatimuliwa kazi niwe na pakuanzia.

Mtaji nilionao ni Milion 5, hoja inayonisumbua ni biashara gani ambayo nitaifanya angalau nipate faida ya laki 5 kwa mwezi. Ikumbukwe kuwa mkopo huu nimeuchukua bila kuwa na naandalizi ya aina yoyote, Bali ni hofu iliyonijaa dhidi ya utawala huu wa awamu ya tano kwa watumishi wa umma ambapo diwani, Mkuu wa wilaya nk. Wanayo mamlaka ya kukumwagisha unga bila hiyana.

Wataalamu naomba mnisaidie mawazo yenu ili nijikwamue kwa hiki kiasi nilicho nacho
Mkuu
Umeweka avatar ya mkulu wa nchi bado unalialia!
Weka namba ya simu kesho utapokea uteuzi
 
Naitwa Vmax nipo Marekani kwa sasa kwenye harakati za Maisha. Shuka za kudarizi nimpango mzima soko najua lilipo la uakika . Nipo kwenye harakati ya kutafuta watu wakufanya nao kazi nia yangu nikukenga kiwanda kazi usiku na mchana ikiwa upo tayari tuwasiliane nikupe details kwa urefu ili ufanye uhamuzi kwa utakayo yaskia kutoka kwangu
Mimi pia nipo Denmark,
biashara ya viwanda inalipa sana huku kama utakuwa interested na uanzishaji wa kiwanda jitahidi tuwasiliane.
hutojuta.
 
Back
Top Bottom