Kampuni ya Chinaworldbuz Company Limited (CWB) ni kampuni ya muungano wa vijana wa kitanzania na kichina waishio jijini Shanghai-China.Kampuni hii iliyoanzishwa february mwaka 2012 jijini Shanghai kwa Lengo la kuifikia jamii ya wafanyabiashara wa Tanzania na Africa kiujumla watakao kununua bidhaa zenye ubora wa hali ya juu kutoka nje ya nchi (hususani China) kwa ajili ya kuboresha biashara zao.Kutokana na kuwa na changamoto nyingi zinazowapata wafanyabiashara wa Tanzania katika nyanja za kukataliwa kibali cha kuvuka mipaka(VISA REJECTION), ugumu wa lugha ya kichina( LANGUAGE BARRIER),kupata bidhaa bandia (FAKE GOODS)katika masoko madogo madogo ndani ya China na pia kukosa mahusiano ya moja (DIRECT LINK) na viwanda vitengenezavyo bidhaa mbali mbali nchini China. CWB ni njia sahihi ya kuweza kuboresha biashara yako bila kukutana na changamoto tajwa hapo juu, ni rafiki mwema wa biashara yako, ni njia sahihi ya kuweza kutimiza ndoto zako katika uwanja huu wa biashara. CWB,Tunatoa elimu ni jinsi gani ya kufanya kazi na sisi, tuna toa ushauri ni aina gani ya biashara mtu anaweza kufanya kulingana na mtaji wake, tunatoa maelezo ya kina kuhusu bidhaa zetu zote tuzitoazo mfano simu, tablets,nk. Kwa Sasa makao makuu ya ofisi za CWB yapo jijini Shanghai na ifikapo January 2014 ofisi zetu zitahamishiwa Ushirika Tower jijini Dar es Salaam. Kwa maelezo zaidi tafadhali tembelea website yetu www.chinaworldbuz.com pia unaweza wasiliana nami kwa email juely2006@yahoo.com au justineluvanda@gmail.com, simu namba +8613524159707.
Usiwe na shaka kuuliza au kuhitaji mafafanuzi ya kina. Tupo kwa ajili ya kufikia mahitaji ya wafanyabiashara na watu wanaotaka kufanya biashara.
Asanteni.
Yote hayo juu yapo within mtaji wako
- mmpesa et al
- kufungua genge
- kuuza karanga, ndizi au mbogamboga
- kununua bodaboda na kukodisha au kuendesha mwenyewe
- kuhemea point A na kuuza Point B
- Kuchagua mitumba ikifunguliwa na kuipiga pasi na kuifua na kutembeza maofisini na kwenye mabenki
- kununua matunda kuyakata kata na kuuzia watu kila sahani buku au buku na mia tano
- Kuuza magazeti tena hili huitaji mtaji mkubwa wala halina hasara sababu magazeti yote yanayobaki unayarudisha ofisini
mara nyingi binadam huwa tuna kuwa na ndoto nyingi sana ktk maisha na kuna mipango ming ambayo kina mmoja anakuwa nayo kufanikisha ndoto zake ikiwemo biashara,kaz,cerebrity,investing,franchise,winning a lotary na nyingine nyingi na unatakiwa kuangalia mazingira uliyo nayo.kwa mpango wangu wa biashara ya mtandao,hautaacha kaz yako,na busines plan umetengenezewa na kampun we ni kuifuata tu na kutengeneza kipato cha kimataifa,mtaji kidogo laki saba tu, bidhaa zetu ni za afya na urembo ambavyo ni vit vya matumiz ya kila siku,kwa upande wangu biashara ya mtandao ndiyo mkomboz kwa jamii zetu.
We kigogo usiidharau 1ml eti haiwezi fanya biashara tena wengi imewatoa kimaisha sema inategemea nabusiness plan yako.Kaka 1m inafanya biashasha ila inategemea na eneo alilipo!na furusa zilizopo!!
Nimevutiwa na comment yako ningependa kujihusisha moja kwa Moja na biashara hii ya kimtandao. Je nini kinahitajika hasa katika biashara hii? 0714487311
mkuu soma uelewe anasema aliponea kidogo yaani manake alinusurika kutapeliwa. au wewe ndo ulikuwa unakopesha hizo pikipik manake umevamia comment ya jombaa peri kichwakichwa !
utapeli mtupu.
mimi niliponea kutapeliwa na Mtu alietoa TANGAZO kuwa anakopesha pikipiki hapa Jf.
mpaka Leo hapokei simu yangu wala kujibu msg.
kuweni makini
Hiyo kaskazini unayosema ndo mikoa gani? Na je, umeshapata ushauri wowote kuhusu hiyo biashara ya dhahabu?