Mtaji Wa Masikini Ni Nguvu Zake Mwenyewe

Kwani huyu aliyebeba Lumbesa ni Maskini?

benjamin mkapa alipenda sana hii slogan - the reason behind ni kuwapumbaza watanzania! shame on them and him!
 
Ni kweli huyu siyo maskini, angekuwa maskini asingekuwa na ubavu wa kubeba lumbesa hiyo! Labda tutafute definition ya umaskini.
 
Kwani huyu aliyebeba Lumbesa ni Maskini?

benjamin mkapa alipenda sana hii slogan - the reason behind ni kuwapumbaza watanzania! shame on them and him!

Mtaji wa masikini ni UAMINIFU tu, full stop! Mkapa kwa slogan yake ya kijinga alisababisha watu watumie nguvu zao kufanya ujambawazi wa mchana kweupe!
 
Hivi hatuna requlations/standards kuhusiana na manual handling operations? kwa namna hii tunaumizana na kupeana vilema vya maishatu..
 
aisee unaona body yake lakini, halafu akielekea gengeni,
sufuria ya sembe na sufuria la maharage/mboga linasafishwa.
 
Nilisikia kama TBS wakati fulani walitaka kuweka viwango vya ujazaji magunia ili kuondokana na lumbesa - sijui iliishia wapi!
 
ni utumiaji mbaya wa rasilmali tulizopewa na Mungu wala si umaskini,,,,ufisadi unatunyonya
 
Back
Top Bottom