KWA WAFANYABIASHARA YA BAA
Naam ndugu ninataka kushirikiana na mtu ambaye anapenda kufanya biashara ya baa eneo lipo Dar es Salaam Ilala barabara ya kawawa linavutia sana kwa kufanya biashara hiyo ambapo sisi wenye eneo tunafanya biashara ya mgahawa kwa mda mrefu tangu mwaka 2000 mpaka sasa.
Mimi nataka kufungua biashara ya internet café na stationary ila umeme ndo hakuna .Kuna jamaa alilipa pesa ya umeme ila alishindwa kugharamia gharama za kuweka luku na kuvuta umeme hivyo kama unapenda njoo tushirikiane sisi tunakuachia biashara ya baa ila ya chakula unatuachia sisi kwani sitakudai kodi ila utagharamia gharama za kuweka luku alafu wote tunakuwa tunachangia kulipa bili ya umeme itakapokuwa inakwisha.
Eneo lipo kibiashara zaidi kwani lipo barabarani na kuna tax zinapaki masaa 24 pia kuna mtu ameweka pooltable mbili anachezesha kuanzia asubuhi mpaka saa 5 usiku na mngarisha viatu yupo pamoja na waosha magari na eneo kubwa la parking lipo.
Kwa taarifa zaidi tuwasiliane kwa kunitumia meseji kupitia namba hizi (usipige)=0719879608
Habari zenu wadau wa JF.
Niende kwenye mada hapo juu, naomba kujuzwa hatua na taratibu muhimu za kuzingatia wakati ninapotaka kuanzisha biashara ya vilevi na vinywaji baridi yani bar(baa).
Nyingine zinajulikana kama vile wanawake wenye mvuto na kauli nzuri yaa barmaids wakali wa sura.
Naombeni hatua nyingine muhimu zikiwepo za kisheria, afya nk.
Mkuu mimkni uamsho sitaweka noah ikawahudumuwangu nataka wawe matata kalio kilo mia.mkuu hiyo pia itategemea wapi unafungua hiyo bar yako!!kuna sehemu jiko halilipi kabisa na sehemu zingine jiko la noah linalipa na sehemu zingine ukiweka noah ndo umeua bar,so location matters.
Ok mkuu jitahidi kwa wahudumu!!si unajua sisi wanywaji twataka care kama wakitu care tutakuja!!!ila tukiwazoea sana tuna sepa! inabidi uwe una wabadilisha kila baada ya mwezi au miezi miwili!Mkuu mimkni uamsho sitaweka noah ikawahudumuwangu nataka wawe matata kalio kilo mia
DUuu na hizi ndo ajila alizowaahidi dada zetu kikwete wafukuzwe baada ya mwezi khaaaaa!Ok mkuu jitahidi kwa wahudumu!!si unajua sisi wanywaji twata care kama wakitu care tutakuja!!!ila tukiwazoea sana tuna sepa!inabidi uwe una wabadilisha kila baada ya mwezi au miezi miwili!!
Mkuu Noah na Bia ni dugu moja zote haram.Mkuu mimkni uamsho sitaweka noah ikawahudumuwangu nataka wawe matata kalio kilo mia
oooooh!jamaa ashakosa biashara hapa!!!Mkuu Noah na Bia ni dugu moja zote haram.
weka mademu visu.
1) Wahudumu wawe wakarii
2) Kila baada ya miezi miwili jaribu kubadilisha wahudumu sio kwa mkupuo mmoja mmoja
3)Usitembee na wafanyakazi wako utawapa kiburi