Mtaji milioni 25 - 30

emalau

JF-Expert Member
Apr 25, 2009
2,775
3,100
Wakuu za jumapili, naomba msaada kwenye tuta. Kuna biashara nilipanga kuifanya ya kuchimba one of industrial minerals. Nilitegemea kupata order kiwanda cha mchina Tanga, baada ya kuwa nimepata mkopo bank wachina wakaanza kuzingua, sasa natafuta plan B ya kufanyia hizo hela 25 - 30m ili inipe marejesho ya bank about 3m every month.
Natanguliza shukrani wakuu.
 
Ulipochukua mkopo walikupa muda gani wa kuanza marejesho?,tuanzia hapa kwanza.
 
Wakuu za jumapili, naomba msaada kwenye tuta. Kuna biashara nilipanga kuifanya ya kuchimba one of industrial minerals. Nilitegemea kupata order kiwanda cha mchina Tanga, baada ya kuwa nimepata mkopo bank wachina wakaanza kuzingua, sasa natafuta plan B ya kufanyia hizo hela 25 - 30m ili inipe marejesho ya bank about 3m every month.
Natanguliza shukrani wakuu.
Mfano:
Ukiiacha hii pesa kwenye account ya benki kisha benki wakate pesa yao kila mwezi.

Ni miezi mingapi itakupasa uweke pesa yako binafsi ili kukizi marejesho ya mkopo?

Alafu kuanzia hapa tukupe ABC za kama utaweza kufanya biashara au uongeze pesa yako ulipe benki ubaki huru.
 
Back
Top Bottom