Mtaji 70m biashara yangu ya duka la vyakula imeshuka sana nifanye biashara ipi

malembeka18

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2018
Posts
3,717
Reaction score
4,295
Wakuu mim nafanya biashara ya dukal la vyakula Sasa biashara imeyumba sana kutokana na ushindani kuwa mkubwa faida imepungua sana
Wadau nifanye biashara ipi fursa inayoonekana hardware nlikua nafanya nayo tumekua wengi mno faida
Kichwa kinawaka sjui nifanyaje
 
Biashara zote Zina ushindani, kuwa mbunifu, usibadili badili Biashara
 
Wakuu mim nafanya biashara ya dukal la vyakula Sasa biashara imeyumba sana kutokana na ushindani kuwa mkubwa faida imepungua sana
Wadau nifanye biashara ipi fursa inayoonekana hardware nlikua nafanya nayo tumekua wengi mno faida
Kichwa kinawaka sjui nifanyaje
boresha huduma zako ikiwemo bei ya bidhaa na uwe na good customer care plus uuzaji wa bidhaa bora, mteja mmoja humleta mwingine ukiwa na huduma nzuri mtu anaweza kuacha maduka 100 akalifuata lako lililopo mafichoni kikubwa panapitika,,,, usisahau ulogi au kumuomba Mungu sana mauza uza yapo broh
 
Huku tulipo wateja wanaangalia Bei chini
 
Wakuu mim nafanya biashara ya dukal la vyakula Sasa biashara imeyumba sana kutokana na ushindani kuwa mkubwa faida imepungua sana
Wadau nifanye biashara ipi fursa inayoonekana hardware nlikua nafanya nayo tumekua wengi mno faida
Kichwa kinawaka sjui nifanyaje
Fanya biashara hiyo hiyo kwa bei ya jumla
 
Watu wanatoa ushauri kwa biashara ambayo haipo kazi kweli kweli...
Biashara ya chakula kwa 70m daah mchele magunia mangapi hapo ya kutoka Kamsamba 100 kg harafu wewe usumbuke kuuza au maharage ya Mbeya mbona mnatuona kama hatujui kitu kabisaa wazee..
Mahindi truck tatu unajaza harafu unasema biashara mbaya wakamate hao hao ambao hawajawahi kufanya hiyo biashara..
 
Wakuu mim nafanya biashara ya dukal la vyakula Sasa biashara imeyumba sana kutokana na ushindani kuwa mkubwa faida imepungua sana
Wadau nifanye biashara ipi fursa inayoonekana hardware nlikua nafanya nayo tumekua wengi mno faida
Kichwa kinawaka sjui nifanyaje
Boss ulishawahi kusoma kitabu cha the richest man in Babylon ??

Natamani Kila mtu angekisoma hiki kitabu bahati nzuri kipo humu Jamii Forum kwa kiswahili "Mtu tajiri zaidi katika babeli.."

Hiki kitabu kimeelezea siri ya kupata faida katika biashara hata kama ni ngumu vipi... Nitaeelezea huko chini nini cha kufanya.. Mathalani ni hatari kua na mtaji wa milioni 70 halafu ufungue biashara ya milioni 70!.. inamaana ikikwama utachanganyikiwa haswa..

Matajiri na wafanyabiashara wakubwa kabla hawajafungua biashara zao hua wanalenga kitu kimoja cha muhimu sana ambacho ni kulinda mtaji kabla ya kuwaza kupata faida.. mfano kama nitafungua kijiwe cha kupika chapati na maharage jioni pale shekilango na nina mtaji wa milioni mbili itabidi nihakikishe hata nikiyumba milioni mbili yangu haipotei...

So in short kwa ushauri wangu kutoka kwenye kitabu cha the richest man in Babylon kuliko kuwaza biashara ya milioni 70 bora ufungue biashara ya milioni 10-20 then upambane isimame tena ufungue biashara kama hiyo... Tena na tena
 
Kwa sababu una mtaji punguza bei, kama kila kilo ulikuwa unapata faida 200 weka faida mia .
Siri kubwa ya biashara ni kuwa na wateja wengi na sio kupata faida kubwa.
 
Back
Top Bottom