Mziwandawamama
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 1,303
- 944
Mwalimu Julius Kambarage Nyerere..dah miaka ya 60s pale pugu dah Mungu ampe raha ya milele huko aliko
Kapiki jeMwl undule robert mwaipojele (rip) bwato pr school kyl mby...
Hivi kuna Walimu wa aina hii?Mimi sitamsahau mwalimu flan alinifanya nikachukia hesabu ,nakumbuka nilkuwa form two na nilkuwa nafanya vizur sana kwenye hesabu sasa yeye akawa ananisema vibaya mbele ya darasa eti kuwa nguvu yangu ni ya soda na ipo siku itaisha. Sasa ili kukwepa maneno yake nikawa nafanya maswal machache ya hisabat ili nisifaulu sana na mengine nikawa naandika majibu ya uongo, kiukwel nikikumbuka huwa naumia sana hadi leo huwa sielew lengo lake lilikuwa ni nini.
Pia nikiwa primary Kuna ticha mmoja wa sayansi alitoaga mtihan akasema atakayepata 80 atampa shiling elfu 1, alkuwa anampenda sana bint flan ambaye tulkuw tuna compete naye class so alijua ndiye angepata hyo elfu 1, Cha ajabu ule mtihan me nilipata 88 ila akaniandikia 78 na akasema ole wake ambaye angesema amepunjwa alama, hata hivyo yule bint hakupata 80 so elfu 1 haikutolewa.
Huwa nikikumbuka haya matukio roho inaniuma sana, but Mungu ni mkuu na mim nilisonga mbele.
Wew product ya yegela. Namkubali MWL nzala biologyNamkumbuka mwl wangu wa History Advance pale Buluba, Mwl. Manjale! Mwenye taarifa zake please.