ipogolo
JF-Expert Member
- Aug 15, 2011
- 6,275
- 5,961
Wadau wa elimu asaalam aleikum! Tumsifu Yesu Kristo!
Nimebahatisha kuona matokea ya kidato cha 4 mwaka 2013 kuna mwanafunzi kapata alama 7 katika masomo yake ya kidato cha 4.kama ifuatavyo: history A, kiswahili A English A Geography A biology A mathematics F civics A na Divinity A. Myahiniwa huyu alistahili kupata daraja la KWANZA lenye alama 7.
Lakini kapewa ADHABU kwa kufali hesabu na kupewa daraja la TATU.
Nijuavyo mm hesabu ni GLOBAL ISSUE, Ni somo lisilokuwa na waalimu wazuri. Kwa mtiririko wa matokeo haya mtahiniwa huyu ni Mzuri kimasomo kasoro Maths,
NECTA kumpa mtahiniwa adhabu pasipo kumjengea mazingira mazuri ya ufaulu sio haki. "THE NATIONAL EXAMINATION ACT 1973 NA NOTISI YA GAZETI LA SERIKALI NO: 38 YA TAREHE 1 MACHI 2013 SIJAONA KIPENGELE CHA ADHABU KWA WATAKAO FELI HESABU.
Baraza la MItihani na Wizara ya Elimu liangalieni hili kwa mapana msiwaonee watoto wetu.
NAWASILISHA