Mtahiniwa akipata "f" hesabu necta anapigwa faini.

ipogolo

JF-Expert Member
Aug 15, 2011
6,275
5,961
Wadau wa elimu asaalam aleikum! Tumsifu Yesu Kristo!
Nimebahatisha kuona matokea ya kidato cha 4 mwaka 2013 kuna mwanafunzi kapata alama 7 katika masomo yake ya kidato cha 4.kama ifuatavyo: history A, kiswahili A English A Geography A biology A mathematics F civics A na Divinity A. Myahiniwa huyu alistahili kupata daraja la KWANZA lenye alama 7.
Lakini kapewa ADHABU kwa kufali hesabu na kupewa daraja la TATU.
Nijuavyo mm hesabu ni GLOBAL ISSUE, Ni somo lisilokuwa na waalimu wazuri. Kwa mtiririko wa matokeo haya mtahiniwa huyu ni Mzuri kimasomo kasoro Maths,
NECTA kumpa mtahiniwa adhabu pasipo kumjengea mazingira mazuri ya ufaulu sio haki. "THE NATIONAL EXAMINATION ACT 1973 NA NOTISI YA GAZETI LA SERIKALI NO: 38 YA TAREHE 1 MACHI 2013 SIJAONA KIPENGELE CHA ADHABU KWA WATAKAO FELI HESABU.
Baraza la MItihani na Wizara ya Elimu liangalieni hili kwa mapana msiwaonee watoto wetu.
NAWASILISHA
 
Nachangia kama Mwathirika wa Tatizo nilipiga paper 2003 nikawa na pointi 20 yaani division 2 na Comb. POINT 7 Yaani Eng.Science (PHYSICS) A,BIOLOGY C, CHEMISTRY C, Math. Kwa bahati mbaya nikawa na "F" wakanipenati hadi division 3 ,nikapata post ya Primary school Teacher, iki ki2 sitasahau Untill 2 die.
 
Una umri gani??SIKUTEGEMEA KM JF INA SOME MEMBERS WANA AKILI KM ZAKO!Uwezo wa walimu wanaofundisha maths ni mdogo ndio maana watoto wanafeli!Je,umeshafanya utafiti?Au umekurupuka?Maths ni 'GLOBAL ISSUES'so mwanafunzi akipata F hasipigwe PENALT!!!!
Ushauri wangu wa bure kwako,SIO LAZIMA KILA MTU AANZISHE THREAD.!SOMA ZA WENZAKO TOKA 1st Jan-31st Dec.
 
Sina uhakika na aliyeleta Mara hii kama ni mkweli ktk matokeo ya kidato cha NNE kuna somo la Divinity?
 
Stor ya kutunga mpaka unaaibika,divinity na olev wapi na wapii?au wasemea mtaala wa Zimbambwe?
 
Sina uhakika na aliyeleta Mara hii kama ni mkweli ktk matokeo ya kidato cha NNE kuna somo la Divinity?

Divinity ipo A-level. O-level kuna bible knowledge. Mpotezee tu, amevurugwa, akakurupuka.
Anaposema Maths ni Global Issue anasahau kuna watu wanapata A.
 
Nachangia kama Mwathirika wa Tatizo nilipiga paper 2003 nikawa na pointi 20 yaani division 2 na Comb. POINT 7 Yaani Eng.Science (PHYSICS) A,BIOLOGY C, CHEMISTRY C, Math. Kwa bahati mbaya nikawa na "F" wakanipenati hadi division 3 ,nikapata post ya Primary school Teacher, iki ki2 sitasahau Untill 2 die.

2003 ungeweza kwenda A-LEVEL as a private candidate kama gharama za private school zilikuwa kubwa. kuna wenzio walipata div 4 na sasa wako mbali kitaaluma. utalalamika na kulaumu sana lkn matokeo yako kwenye cheti hayatabadilika. acha kunungunika, amka, nenda shule. it is not too late
 
Mkuu, nimezipenda comment zako ila bado mimi naona kuna haja ya kuiangalia upya hii penalty ya kufeli hesabu, kwanini iwe hesabu na isiwe history? kusema ukweli inaumiza sana.
 
Mleta mada acha uongo usio na tija. Hiyo Divinity ya CSEE umeianzisha wewe leo!?
 
Mkuu, nimezipenda comment zako ila bado mimi naona kuna haja ya kuiangalia upya hii penalty ya kufeli hesabu, kwanini iwe hesabu na isiwe history? kusema ukweli inaumiza sana.

Asante mkuu!

Nadhani waliweka penati ya maths ili kuwasukuma wanafunzi wajitahidi kufuatilia na kumakinikia maths kwani wengi wanaonekana kuwa na aleji nazo.

Imagine, ingawa kuna penati wanafunzi hujiandaa kwenda kuandika namba ya mtihani kisha wanalala. ingekuwa penati haipo ingekuwaje?

Mi nilikomaa nazo hadi nikapata D, nikaikimbia penati....pointi zangu 19 huyooo na KHL yangu.

Ila nadhani kuna haja ya serikali kuboresha mazingira ya elimu ( hasa maths & English) watu wasilazimishwe kuyasoma masomo hayo na wanaposhindwa wanatwangwa penati
 
umetoa hayo maoni kwa kuwa ni muhanga (hisia), mtaalamu wa Elimu, au kwa kuwa ni asubuhi.
Nashauri Hesabu isomwe kama somo hapa A - Level, kwa kuwa kuna watu wanaacha Hesabu pindi tu wanapoingia kidato cha Tatu, yaani, wapo tayari kufeli Kidato cha Nne.
 
Divinity ipo A-level. O-level kuna bible knowledge. Mpotezee tu, amevurugwa, akakurupuka.
Anaposema Maths ni Global Issue anasahau kuna watu wanapata A.
Je. Nilichopost ni uongo? kwa maana ya context and not words?
Watahiniwa wanaofeli hesabu hawapati adhabu? Tujadili muktadha na sio makosa madogo.
Nashukuru kunikosoa.
 
Wadau wa elimu asaalam aleikum! Tumsifu Yesu Kristo!
Nimebahatisha kuona matokea ya kidato cha 4 mwaka 2013 kuna mwanafunzi kapata alama 7 katika masomo yake ya kidato cha 4.kama ifuatavyo: history A, kiswahili A English A Geography A biology A mathematics F civics A na Divinity A. Myahiniwa huyu alistahili kupata daraja la KWANZA lenye alama 7.
Lakini kapewa ADHABU kwa kufali hesabu na kupewa daraja la TATU.
Nijuavyo mm hesabu ni GLOBAL ISSUE, Ni somo lisilokuwa na waalimu wazuri. Kwa mtiririko wa matokeo haya mtahiniwa huyu ni Mzuri kimasomo kasoro Maths,
NECTA kumpa mtahiniwa adhabu pasipo kumjengea mazingira mazuri ya ufaulu sio haki. "THE NATIONAL EXAMINATION ACT 1973 NA NOTISI YA GAZETI LA SERIKALI NO: 38 YA TAREHE 1 MACHI 2013 SIJAONA KIPENGELE CHA ADHABU KWA WATAKAO FELI HESABU.
Baraza la MItihani na Wizara ya Elimu liangalieni hili kwa mapana msiwaonee watoto wetu.
NAWASILISHA
ni sawa kwan ulikuwa hujui? Hesabu ndo kila ki2
 
New Manase: Kama hesabu ni kila kitu wizara ya elimu iandae waalimu wa hesabu wa kukidhi haja na matarajio ya wanafunzi.
Angalia mfano huu:
Shule yenye wanafunzi 962 inaye mwalimu mmoja tu wa mathematics.
walimu wa historia 8 ;kiswahili 7; fizikia hakuna(0).
Hapa watakaoichukia na kufeli hesabu watakuwa wengi tu na adhabu zitakuwa nyingi..
 
Last edited by a moderator:
Mkuu
Umegusa mulemule alipokosea Mulugo(Hamimu)

Nahisi huyu jamaa atakuwa yeye mwenyewe ndiyo alifanya mtihani ana wasiwasi na matokeo yake sasa anajaribu kudodosa kiaina.Taarifa zake hazina ukweli kwa sababu:
1.Kwanza mitihani ya kidato cha nne 2013 sasa ndiyo wana sahihisha,na hata labda wakawa wamemaliza hayajawa tayari kwa kiwango hicho.
2.Hajatuambia ni wapi ameyaona matokeo hayo kwani mpaka sasa bado ni siri.
3.Wanafunzi wa kidato cha nne hawafanyi somo la Divinity.
4.Kimantiki,hata alama alizo weka hapo ni za walakini,
Hivyo taarifa zake hazina ukweli kwa maoni yangu mimi
 
Mimi hainiingii akilini kuwa mwanafunzi mwenye uwezo wa kupata A katika masomo yake yote hayo aliyoyafanyia mitihani isipokuwa Mathematics tu ndio apate F!na sidhani kama hayo kwel nimatokeo halisi ya mtu fulani labda angesema tu kuwa ni mfano hapo tungemuelewa!
 
Jamani naomba niahirishe mpaka hapo matokeo yatoke rasmi nitatoa ushahidi uliokamili.
poleni sana .
lakini hayo hutokea
 
Back
Top Bottom