Kahama- shy
JF-Expert Member
- Oct 18, 2024
- 1,951
- 2,693
Kuna Mwanangu alikuwa anaitwa maro, alikuwa baada ya kuangusha divi chooni🤣 anachukua kijiti anaandika ukuta ndani ya choo na nje, machata unakuta mengi mengi ya Wana wa shule,
Ukiiingia toilet 🚽 mara mzigo huo uko pembeni ya shimo harafu mzito unasema huyu ni mtoto au mtu mzima noma sana🤣😂