nyampanaga
JF-Expert Member
- Nov 16, 2012
- 1,104
- 559
Acha ujuhaSerikali ya kulinda vibosire sasa iko madarakani; serikali ya kula na kuwahadaa wananchi sasa iko madarakani; serikali ya maneno mengi na vitendo kiduchu sasa iko madarakani. Serikali ya kutetea ufisadi, rushwa, uhujumu-uchumi, uzembe, upigaji-dili, na ubadhirifu sasa iko madarakani. Uzalendo sasa ni suala la historia. Utetezi wa wanyonge ni historia.
Anyways, tuchape kazi tu kwa bidii maana yajayo yanafurahisha. Kama Mzee Ruksa, Mzee wa Masasi na yule wa Msoga awamu zao zilipita, basi na huyu naye ni suala la muda tu.