Mtaani kwako Bajaji inalaza bei gani kwa siku?

40,000 na ni full lami kwa ruti ya Bunju B - Mapinga shule. Au mabwepande - Bunju B ila siyo lami
 
Habari wadau.

Nimeamua kununua bajaji ili kujikimu na maisha. Hapa nilipo Bajaji ni nyingi na biashara imekuwa ngumu mno. Vipi we ukwapi na biashara ya Bajaji imekaaje pande hizo? Nipo tayari kutimba popote coz naendesha mwenyewe.

Msaada tafadhali,,
Sasaivi dukani imefikia kiasi gani....
 
Ndio bei za mjini hizo mzee! Tena hiyo 20,000/ bajaj iwe mpya
Mtu mwenye bajaji Geita analaza mpaka 40-50k kwa siku akiwa na bajaji nzuri maana kule bajaji ndo daladala, na route kima cha chini ni 500, 1000 hadi 2K kutokana na sehemu unayoenda. Unakuta mtu anapiga route na mtu nne nne na njiani anapakia akikutana na raia kama kashusha mwingine.

Hili ninalizungumza kwa ezxeprience kama mtu niliewahi kumiliki bajaji, tena sio kuendesha mimi.

Sijui kwa huki mjini, ila kulaza 15k-20k kwa bajaji ni ndogo sana.
 
Hahahaa geita huko sawa kwanza hazipo nyingi kama mjin hapa ,hapa mjini ndugu yangu bajaj nyingi hadi zinataka kuwazid watu hiyo 20,000/ yenyewe kuipata mnavutana na dereva hatari.
 
Mkuu vipi kuhusu barabara? Ni rough road au lamilami?
 
Hahahaa geita huko sawa kwanza hazipo nyingi kama mjin hapa ,hapa mjini ndugu yangu bajaj nyingi hadi zinataka kuwazid watu hiyo 20,000/ yenyewe kuipata mnavutana na dereva hatari.
Trust me bro. Madereva bajaj wanaupiga mwingi sana. Take it from me kama ukiweza kuiendesha bajaj yako mwenyewe, asee hela ipo.
 
@polokwane We unapiga route za wapi kaka. Kwa sababu inategemea. Kuna sehem huwezi ona hela sana hasa sehemu ambazo bajaji zimekuwa nyingi.
 
Trust me bro. Madereva bajaj wanaupiga mwingi sana. Take it from me kama ukiweza kuiendesha bajaj yako mwenyewe, asee hela ipo.
Ukiwa na majukumu mengine ni mgumu sana kuendesha mwenyeww lazima uweke kijana nanhesabu za mtaan ndo hizo hizo mzee 15,000/= hadi 20,000/ per day
 
Back
Top Bottom