Chimbo gani naweza pata bana za Gesi kwa bei nafuu?

screpa

JF-Expert Member
Sep 10, 2015
10,792
15,693
Wakuu, mimi nipo mkoani na nafanya biashara kuuza/kubadilisha mitungi ya gesi, nina mpango wa kuanza kuuza bana za Gesi kwa bei nafuu ili niendane na ushindani wa wa sasa, maana kwa sasa nazipata kwa masupplier wa gesi wenyewe ambao wananiuzia kwa elfu5 ambapo inanilazimu niuze kwa elfu 8 hadi 10. Kama yeyote analijua chimbo ambalo naweza kupata kwa unafuu zaidi (kununua kwa jumla) naomba anijuze
 
Back
Top Bottom