Mtaalamu(Babu wa JAIRO) kafa

Mtaalamu(Babu wa JAIRO) kafa

Janja PORI

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2011
Posts
825
Reaction score
247
ha ha eti juz kaenda kwa babu wamemrudisha job mara leo kasimamishwa inauma au ndo mtaalamu kafa au masharti kakosea
 
Hivi kwa nini mambo ya uganga mwampakazia babu tu na wala sio bibi?
 
Hivi kwa nini mambo ya uganga mwampakazia babu tu na wala sio bibi?
Bibi yeye huwa wanampakazia Uchawi kwa sababu ya macho mekundu yanayotokana na moshi wa kuni.
 
Hivi kwa nini mambo ya uganga mwampakazia babu tu na wala sio bibi?
<br />
<br />
Babu kwa hadithi za uongo ni hodari, Bibi ye ni hodari kwa vizawadi hasa vya kiporo asubuhi ukiamka.. We ungemsifia nani hapo? Teh teh teeh!
 
ahahahahhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh!!!!!!!!!!!
Karibu tule daku, msijesema sina ujamaa na nyie.
 
Back
Top Bottom