ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
Jina lako ni la muhimu sana kwenye hii
Naongea na meneja wangu ili akuandike; Mtambuzi atanionea kwenye miwani yake ile nyeusi kweli,
sijui.
Mamndenyi kumbe na wewe umo......?
Naomba ukishawekwa hayo makitu ya make up, upige picha unitumie nione ulivyobadilika maana kwa jinsi ulivyo mzuri nahisi kama make up zitakuharibia, bora ubaki hivyo hivyo naturally kuliko kuharibu uso kwa kujikandika mavipodozi
haaaa huyu sio Lady doctor bwana...........the lady is soooo natural!!!! si ndo mana jemedari wako amesurrender hapoo
nimemfananisha mwenzio,prezidaa hataki hizo mambo kabisaaa
sikunyingine usinifananishe wii, utakuwa huendi ikulu...... We shauri yako tu!!
mmmh acha kumdanganya mwenzio
mbona mkeo Lady doctor anajiremba
mpaka nyusi za bandia anaweka,na mapowder
ya kila dizain khaaaa shemeji lol!!
taratibu rafiki....
hebu niPM hiyo movie ilikuwa wapi?
ha haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
nisamehe wii,sintorusia tena!!!!!!!
jana nilikutafuta ulikuwa wapi aisee
Kumbe unapaka bebi keya
ndo maana anasema unanukia kitoto sana;
jamani;