JK hapa duniani hatuna mji udumuo usitafakari sana juu ya majina ya mitaa hii au barabara hizi.... tafadhali tafuta uraia katika JERUSALEM CITY ambako hakuna nondo wala kutu.............ni mji wa furaha full kipupwe! hakuba majonzi huko! hakuna kifo huko! walioko wauona uso wa MASIHA ni raha ya aina gani kuufikia mji uleeee! hakika ni full shangwe! watu wanashangweka usiku na mchana ....forget about mitaa na barabara za dunia ni very tempro , zimejaa vumbi, vibaka,changudoa na damu za makafara! mitaa ya dunia hii imejaa udhalimu mtupu, uchafu,mazindiko na kila namna ya uozo! haivutii hata kubandikwa majina ya watu ......
mix with yours