Mtaa gani apewe Dr.kikwete?

Tusker Bariiiidi

JF-Expert Member
Jul 3, 2007
5,521
2,051
Jambo wana JF... baada ya kumaliza karibu majina yote ya watu mashuhuri kwa Mitaa na Barabara hapa BONGO nawaomba tufunguke kuhusu Mtaa/Barabara tumpatie M.K.W.E.R.E? Ndg.B.Mkapa tume-reserve Morogoro road... Hivyo tusahau hiyo...
Mimi napendekeza Barabara ya ipitayo Tandale Uzuri...kutokea Sinza Kijiweni hadi Magomeni kanisani... sifa ya kwanza ni ndefu na ni pekee ambayo haina jina rasmi...toa maoni yako bila jazba...
 
Kibukuasili

JF-Expert Member
May 15, 2010
1,050
546
Apewe barabara ya kuingia nyumbani kwake kunaitwaje sijui huko chalinze.
Hapa mjini hamna mtaa wake, ila mashindano ya umiss tuyaite alhaj dr jk miss tz. Itakua kumbukumbu nzuri tu
 
Rweye

JF-Expert Member
Mar 16, 2011
16,712
7,153
Umenisemea tayari mkuu,mtaa wa kwa mtogole ni suitable kupewa J.K street
 
Victoire

JF-Expert Member
Jul 4, 2008
20,854
44,237
Hahaha ile barabara ni nyembamba.mnapishana kama mnanyang'anyana barabara.inafaa kuitwa jk
 
Elli

Platinum Member
Mar 17, 2008
48,028
66,478
Dah naona kila mjumbe katoa jibu hilo hilo yaani kwa Mtogole nadhani ingemfiti saaana, au kwa kijiwe gani tena jamani?
 
Rweye

JF-Expert Member
Mar 16, 2011
16,712
7,153
Umenisemea tayari mkuu,mtaa wa kwa mtogole ni suitable kupewa J.K street
 
KALABASH

JF-Expert Member
Jan 26, 2011
483
200
Jambo wana JF... baada ya kumaliza karibu majina yote ya watu mashuhuri kwa Mitaa na Barabara hapa BONGO nawaomba tufunguke kuhusu Mtaa/Barabara tumpatie ******? Ndg.B.Mkapa tume-reserve Morogoro road... Hivyo tusahau hiyo...
Mimi napendekeza Barabara ya ipitayo Tandale Uzuri...kutokea Sinza Kijiweni hadi Magomeni kanisani... sifa ya kwanza ni ndefu na ni pekee ambayo haina jina rasmi...toa maoni yako bila jazba...

Sijakupata mkuu. Unasema "Ndg Ben Mkapa TUME-RESERVE Morogoro road" Ni wewe na nani mwingine mliokaa na KURESERVE Morogoro rd? Nielimishe juu ya hili kabla sijaendelea na kuchangia kuhusu hii mada.
 
Tusker Bariiiidi

JF-Expert Member
Jul 3, 2007
5,521
2,051
Haya SHIME SHIME Mbunge wetu wa Ubungo twaomba utoe Pendekezo hilo kwa Baraza la Madiwani wa wilaya ya Kinondoni walipe kipaumbele jambo hilo Murua...

Moja ya vitega uchumi muhimu vilivyopo kwenye barabara hiyo ni Hotel ya Den France-Sinza,Mtanzania-Manzese Uzuri,Vatican City,Deluxe Hotel,Lion Hotel-Sinza na Hotel le Grande Migomigo...
Vingine ni WALE WAJASIRIAMALI WA Mtogole,Perfume safi ya mfereji wa Tandale kwa Tumbo...na kile kituo cha Magari yaendayo kasi pale barabara ile inapokutana na ile ya Kawawa
 
Mzee

JF-Expert Member
Feb 2, 2011
13,529
5,649
Tuanzishe matamasha ya mziki kila mwaka mfano wa Fiesta, tuyaite jk. Hana hadhi ya kupewa barabara.
 
Shine

JF-Expert Member
Feb 5, 2011
11,483
1,358
Haya SHIME SHIME Mbunge wetu wa Ubungo twaomba utoe Pendekezo hilo kwa Baraza la Madiwani wa wilaya ya Kinondoni walipe kipaumbele jambo hilo Murua...

Moja ya vitega uchumi muhimu vilivyopo kwenye barabara hiyo ni Hotel ya Den France-Sinza,Mtanzania-Manzese Uzuri,Vatican City,Deluxe Hotel,Lion Hotel-Sinza na Hotel le Grande Migomigo...
Vingine ni WALE WAJASIRIAMALI WA Mtogole,Perfume safi ya mfereji wa Tandale kwa Tumbo...na kile kituo cha Magari yaendayo kasi pale barabara ile inapokutana na ile ya Kawawa

Pia kandokando ya barabara unaweza kujhpatia miguu na utumbo wa kuku bila kusahau firigisi
 
Tusker Bariiiidi

JF-Expert Member
Jul 3, 2007
5,521
2,051
Sijakupata mkuu. Unasema "Ndg Ben Mkapa TUME-RESERVE Morogoro road" Ni wewe na nani mwingine mliokaa na KURESERVE Morogoro rd? Nielimishe juu ya hili kabla sijaendelea na kuchangia kuhusu hii mada.

Ni kweli kabisa Mitaa yote mirefu iliyopo jijini tayari ina majina ya viongozi wetu mbalimbali... sasa uliobakia mrefu ni huo... Mifano ya Barabara zilizokuwa-reserved mpaka sasa ni

OCEAN ROAD-Cleopa Msuya...
UFUKONI ROAD-Malecela Close...
MOROGORO ROAD-BWM
KIGOGO ROAD- Kuna tetesi itaitwa Sumaye Road
KINONDONI ROAD-Salim Ahmed Salim

Nisizitaje zote kwa sasa... Kalabash amua kunyoa ama kusuka...
 
Shine

JF-Expert Member
Feb 5, 2011
11,483
1,358
Uwanja wa fisi mchana uitwe hivyohivyo uwanja wa fisi na usiku wakati madada poa wakiwa sokoni uitwe JK street
 
Tusker Bariiiidi

JF-Expert Member
Jul 3, 2007
5,521
2,051
Opps Nilitaka kusahau Wabunge wetu wenye kuwaza saaana kwa kutumia MAKALIO pamoja na Meya aliyewatuhumu MIYE SIMO...

kuna ile ya Tabata hadi Kinyerezi itaitwa MASABURI road (Nitakuwa ninacheka sana nikiona vibao vya mtaa huo)

Ule Mtaa wa Dunga kuanzia Hombus hadi M'nyamala Hospital utaitwa Iddi Azan Street

Ule Mtaa Maarufu wa Lindi kupitia Kishamapendo hadi Amana utapewa jina la Issa Hassan "ZUNGU" Close

Ule wa kuanzia Tandika Davies Corner hadi Jet kupita Buza utaitwa Mtemvu By Pass...

Ule wa Majumba sita hadi Kona ya Segerea utaitwa Makongoro Mahanga Road
 
Rejao

JF-Expert Member
May 4, 2010
9,232
4,042
Naona memberz JF siku hizi tumekosa cha kujadili!
Kwa fikra hz nchi itaendela kuwa masikini tu!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Top Bottom