Nyamayao,
Unapiga simu sehemu na hapo kuna jamaa lina sauti kama marehemu Barry White linakuwa linakuongoza kama vile uko kwa Padre kushuhudia.
Au wengine hutumia wimbo huu wa Marehemu Roger Troutman akiwa na nduguze kwenye kundi la ZAPP ....
http://www.youtube.com/watch?v=8AZA3ykDaIw
We Nyamayao unaishi ulimwengu gani?
Kuna mtu hapa hapa alitamka anatumia na anajisikia raaaaha kuliko akipata natural alitaja faida kadhaa.
Komredi sasa unataka kuharibu.....usije kumfanya atake kujaribu hayo madubwana[/QUOTE]
haitowezekana daima.....
Nyamayao,
Unapiga simu sehemu na hapo kuna jamaa lina sauti kama marehemu Barry White linakuwa linakuongoza kama vile uko kwa Padre kushuhudia.
Au wengine hutumia wimbo huu wa Marehemu Roger Troutman akiwa na nduguze kwenye kundi la ZAPP ....
http://www.youtube.com/watch?v=8AZA3ykDaIw
Uwii You guys have rotten minds kwa kweli lol
Nyie mnaozungumzia mila na desturi hivi mnajua mnachoongea ?
Mila na desturi zimegawanyika ktk makundi mawili. Zile zinazoiendeleza jamii , na zile zinazoibomoa jamii.
Hii ya kiongozi kuoa wake wengi na kujilimbikizia utajiri lukuki huku raia wa kawaida wamechoooka, ni UFISADI.
Komredi sasa unataka kuharibu.....usije kumfanya atake kujaribu hayo madubwana[/QUOTE]
haitowezekana daima.....
Safi sana. Sasa ntaanza kukuita 'Nyamayangu' badala ya Nyamayao...Lol