Msukuma awajibu January na Nape asema kumkosoa hayati Magufuli ni nongwa kwa sababu wabunge wamekula viapo vya utii

Yamkosaji hayo

Afadhali niwe mkosaji kuliko kupata kwa wizi na ujambazi!! Hao wakina Msukuma na genge lake Walikuwa wanajipendekeza kwa mwendazake ili kulindwa dhidi ya ujambazi wao!! Mwendazake alikuwa pia anawatumia kama INFORMERS wake!
 
Mbunge wa Geita vijijini mh Msukuma amesema kuna wabunge wanadai kumkosoa hayati Magufuli siyo nongwa lakini sisi tunasema ni nongwa kwa sababu wabunge tumekula kiapo cha utii.

Msukuma alikuwa anampa taarifa mbunge wa makambako mh Jah people aliyesema wabunge wameingia bungeni kwa nguvu ya hayati Magufuli na wasaidizi wake mama Samia na mh Majaliwa
Jah people amesisitiza waliokosa teuzi wawe wavumilivu kwani wabunge ni wengi vyeo ni vichache.

Hayo ni majibu murua kwa wabunge waliopitishwa bila kupingwa January Makamba na Nape Nnauye.

Ramadhan Kareem!
Msukuma kweli ni wa La Saba maana bado hujui maana ya separation of powers au maana ya Mhimili wa Bunge. Wabunge wana haki ya kuikosoa Serikali wawapo Bungeni wala siyo jinai.

Kama ni kiapo wabunge huapa kwa Spika wa Bunge na siyo kwa Rais.
 
NAIBU SPIKA NI MSOMI NI LAZIMA AJITOFAUTISHE NA NDUGAI KWA KUWA SERIOUS NA MAMBO YA BUNGE KWA KUTOENTERTAIN COMEDIANS KAMA MSUKUMA, KIBAJAJ NA JAH PIPO KUPOTEZA MUDA MUHIMU WA MAJADILIANO!! ACHANA NA USHABIKI WA KIJINGA WA NDUGAI, YOU SHOULD BE CURVING YOUR OWN STANDARDS OF LEADERSHIP SO AS TO BE DIFFRENTIATED FROM HIM!!!
 
Mbunge wa Geita vijijini mh Msukuma amesema kuna wabunge wanadai kumkosoa hayati Magufuli siyo nongwa lakini sisi tunasema ni nongwa kwa sababu wabunge tumekula kiapo cha utii.

Msukuma alikuwa anampa taarifa mbunge wa makambako mh Jah people aliyesema wabunge wameingia bungeni kwa nguvu ya hayati Magufuli na wasaidizi wake mama Samia na mh Majaliwa Jah people amesisitiza waliokosa teuzi wawe wavumilivu kwani wabunge ni wengi vyeo ni vichache.

Hayo ni majibu murua kwa wabunge waliopitishwa bila kupingwa January Makamba na Nape Nnauye.

Ramadhan Kareem!
Hizi mburura za darasa la saba ni kuzisamehe bure tu maana sii ajabu kwamba hazina hata uwezo wa kutofautisha mkono wao wa kushoto kutoka wa kulia.
Wasomi kubishana nao ni kama kumfukuza kichaa aliyenyakua nguo zako wakati wa kuoga.
 
Afadhali niwe mkosaji kuliko kupata kwa wizi na ujambazi!! Hao wakina Msukuma na genge lake Walikuwa wanajipendekeza kwa mwendazake ili kulindwa dhidi ya ujambazi wao!! Mwendazake alikuwa pia anawatumia kama INFORMERS wake!
Hujui kitu. Kakojoe ulale
 
Hana ubavu wa kuingia bungeni yeye aendelee tu kukesha mitandaoni

Mimi sio wa darasa la nne, mie ni matawi ya juu huku niliko nakula bata tu; wewe na wenzio hamuwezi kufika huku mpaka mfe!! Nendeni kwenye nyungu zenu na kunywa dawa ya BUBIJI aliyowaachia boss wenu!
 
NAIBU SPIKA NI MSOMI NI LAZIMA AJITOFAUTISHE NA NDUGAI KWA KUWA SERIOUS NA MAMBO YA BUNGE KWA KUTOENTERTAIN COMEDIANS KAMA MSUKUMA, KIBAJAJ NA JAH PIPO KUPOTEZA MUDA MUHIMU WA MAJADILIANO!! ACHANA NA USHABIKI WA KIJINGA WA NDUGAI, YOU SHOULD BE CURVING YOUR OWN STANDARDS OF LEADERSHIP SO AS TO BE DIFFRENTIATED FROM HIM!!!

leo naibu kawa rejea yenu.

ama kweli binaadam waasikuumize kichwa,wana rangi nyingi.
 
Hilo la uenyekiti wa ccm linahusu katiba ya nchi au ya chama? Pia, utii huo ambao jamaa anatakiwa kujifunza, ni kwa rais aliyepo au mwendazake?

rais aliyepo alikuwa makamu wa mwendazake.

kama walimtii mwendazake,walimtii na watamtii na huyu pia.dharau kwa mwenda zake ni dharau kwa aliyepo pia,ila kwa namna ambayo mjinga hawezi elewa.
 
Musukuma elimu ndogo. Anafikiri kiapo alichokula bungeni kilikua ni kiapo cha kulitii JIWE. Jeshi ndilo linaapa kiapo cha kumtii Amiri Jeshi Mkuu. Yeye mbunge anaapa kuilinda na kuitunza KATIBA.
Yaani jamaa ni mjinga sana, hajui hata kiapo alichokula ni kiapo cha nini? Kwanza kumjadili au kumlaumu mtu kama huyo ni ukosefu wa akili na upumbavu, nakiri na mimi nimefanya upumbavu.
 
Mbunge wa Geita vijijini mh Msukuma amesema kuna wabunge wanadai kumkosoa hayati Magufuli siyo nongwa lakini sisi tunasema ni nongwa kwa sababu wabunge tumekula kiapo cha utii.

Msukuma alikuwa anampa taarifa mbunge wa makambako mh Jah people aliyesema wabunge wameingia bungeni kwa nguvu ya hayati Magufuli na wasaidizi wake mama Samia na mh Majaliwa Jah people amesisitiza waliokosa teuzi wawe wavumilivu kwani wabunge ni wengi vyeo ni vichache.

Hayo ni majibu murua kwa wabunge waliopitishwa bila kupingwa January Makamba na Nape Nnauye.

Ramadhan Kareem!
Mbunge anaitwa Jah People na anayemuunga mkono aliwahi kusema kwao "wakipiga mjani" huwa wanalima kutwa nzima...
Ikiwa Baba wa Taifa mwenyewe alikiri kukosea akiwa madarakani na alikosolewa na waliomkosoa "walikuwako aina ya walioko leo ambao hawakutaka akosolewe mpaka mabango ya 'ZIDUMU FIKRA ZA MWENYEKITI...'" Alipogundua mchemko mabango hayo yalibanduliwa moja baada ya jingine...
 
Back
Top Bottom